Kwani ukiwa Central Police si bado uko salama jamani? Si hawa jamaa wanalinda "usalama wa raia na mali zao?"
nchi nzima corrupted;we unatarajia nini???
Ukizoea unafiki ndio tunarudi kule mi msafi mara .......
Shukran Kamanda,je mazungumzo yenu yamefikia wapi?ne updates?
naamini kupokea rushwa ni kosa la jinai kama makosa mengine,na kwahivyo kusema kwamba waachiwe waendelee kufanya wanayofanya kwasababu kadhaa wa kadha,kulinifanya nimwulize swali kama ni sahihi kutumia sababu hizo
ULIMSAIDIAJE JERRY ALIPOWAONYESHA TRAFFIC WALA RUSHWA AKIWA ITV
UNAJUA KILICHOENDELEA??UKIWA KAMA MPINGA RUSHWA NCHINI UMEFANYA NINI KUZUIA RUSHWA ???UKIJIULIZA HAYA MWANGALIE NA BOSI WAKO ANACHOFANYA PALE JUU UTAJUA WOTE UCHAFU MTUPU!!!!!WE MSHAURI AENDELEE KUTUSAIDIA KUTAFUTA WALA RUSHWA IPUNGUE NA SI IISHE....RUSHWA AISHI ATA SIKU MOJA !!!!
Namuona hapa bado anatoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine na akiwa ameshika mifuko yake ya mihela, ni mifuko ya A4 mitatu. Amevaa suti yake ya kupendeza na habari zinaeleza kuwa Kamanda Suleiman Kova ndiyo anasubiriwa kuja kuwaeleza waandishi wa habari ambao wamejazana hapa.
Tuendelee kuvuta subira, Kova akingia tu nawaletea live, kila atakalokuwa akizungumza nawaletea kama lilivyo. Aksanteni
Namuona hapa bado anatoka ofisi moja kwenda ofisi nyingine na akiwa ameshika mifuko yake ya mihela, ni mifuko ya A4 mitatu. Amevaa suti yake ya kupendeza na habari zinaeleza kuwa Kamanda Suleiman Kova ndiyo anasubiriwa kuja kuwaeleza waandishi wa habari ambao wamejazana hapa.
Tuendelee kuvuta subira, Kova akingia tu nawaletea live, kila atakalokuwa akizungumza nawaletea kama lilivyo. Aksanteni
.hivi Jerry amesoma chuo gani? uandishi ili tujue kama ni mwana taalum, maadili, etc. Au kavamia fani, kawa maarufu na sasa.........
Alafu mwenye kujua mwenendo wake atueleze, make TV journalists wengi, wanaokotaokota kama kuku wa kienyeji, yaani habari zao nyingi ni za ku promote ili wapewe kitu kidogo
.Bado STEVEN CHUWA
UMEONA MWENZAKO KADANGANYIKA WE ENDELEA KUCHUKUA PESA
KIJINGA WABAYA WAMEONGEZEKA MSIWAMINI TENA!!!
Kamanda ukipata habari kamili tueleze ni juu ya nn?Kwa wale wenye vyanzo vya habari hii, Buchanan ameuliza swali moja muhimu sana hapa halijajibiwa bado, kisa kizima ni kipi? Kwanini alikuwa apokee rushwa? Ilikuwa ni kumziba mdomo kwa habari gani?
Unweza kukuta hata hao waliotoa rushwa nao wakawa hatiano ati!
Mkifuatilia mambo ya "posho mbili" ndio mtajua "upambanaji" wa TZ ukoje! BTW huyu dogo alipokea hivyo vijisenti ili afanye au asifanye nini jamani? Msikwepe swali hili muhimu, pls!
Hii kiboko! Tunataka kuelwa ni juu ya nn? Na kama ulikuwa mtego katega nabi na kwa nn.Na hii nimeiona kwa kwenye globu ya jamii.
MTANGAZAJI WA TBC JERRY MURO (PICHANI) ANASHIKILIWA NA POLISI KATIKA KITUO CHA KATI JIJINI DAR KWA KILE KINACHODAIWA KUNASWA KATIKA MTEGO WA KUPOKEA RUSHWA TOKA KWA MWANANCHI MMOJA WA JIJINI.
MEDANI ZA KIPOLISI ZIMETHIBITISHA KWAMBA JERRY MURO, AMBAYE NI MTUZWA WA MWANDISHI BORA WA TV KWA MWAKA 2009, AMEKAMATWA LEO JIJINI AKIPOKEA SHILINGI MILIONI 10 KABLA MTEGO ALIOWEKEWA HAUJAFYATUKA.
KAMANDA WA POLISI WA KANDA MAALUMU YA DAR AFANDE SELEMANI KOVA ANATARAJIWA KUTOA TAARIFA KAMILI WAKATI WOWOTE KUANZIA SASA NA GLOBU YA JAMII ITAWALETEA PINDI HABARI MPYA ZITAPOINGIA.
hivi Jerry amesoma chuo gani? uandishi ili tujue kama ni mwana taalum, maadili, etc. Au kavamia fani, kawa maarufu na sasa.........
Alafu mwenye kujua mwenendo wake atueleze, make TV journalists wengi, wanaokotaokota kama kuku wa kienyeji, yaani habari zao nyingi ni za ku promote ili wapewe kitu kidogo
jf university
Ukimwachia mtu ambaye mawazo yake yako "corrupted" atoe mawazo yake unategemea nini?
Ahha!! Kamanda yakweli hayo mbona Jerry nimempigia anasema yupo salama? Wewe uko maeneo gani kwani hata mimi nipo hapa Kwa Mkumbo nimetoka sasa Hivi naenda kumwona Mkony? Weka bayana ametoka Kwa RCO amekwenda wapi????
Mkuu hili ni swali muhimu sana kabla ya kukimbilia kwenye conclusion. Maana mtu anaweza mwita mtu sehemu na kusema nakupatia zawadi ya mill 10 without any "quid pro quo relation", yaani kuhitaji unfair advantage in return hiyo huwezi sema ni rushwa