Hapa ndo nimeamini kua kua na pingu si kosa kisheria!! maana kama ingekua kosa wangeliunganisha hapa!! kwa hiyo ishu ya pingu hakuna hoja ya msingi!!JESHI la Polisi limemfikisha mahakamani mwandishi wa habari , Jerry Muro, ambaye ni maarufu kwa kufichua uozo, baada ya kumkamata kwa tuhuma za kudai rushwa kwa nguvu.
Muro, mfanyakazi wa Shirika la Utangazaji (TBC), anadaiwa kutaka fedha kwa njia ya vitisho kutoka kwa mhasibu aliyesimamishwa wa Halmashauri ya Bagamoyo, Michael Wage.
UMENENA THE PLAYER,Tatizo humu watu wakimpenda mtu huwa hawaamini kwamba anaweza kukosea,Bwana Muro anatuhumiwa kwa utapeli kwanza,polisi wanamchukua kwa ajili ya maelezo then katika hali ya kawaida wanaanzisha uchunguzi wa tuhuma hizo wanagundua Kumbe bwana MURO anamiliki pingu wanatuambia hivyo na kumtaka MURO alete stakabadhi ya ununuzi wa hizo pingu kosa la polisi liko wapi?wataendelea kutujulisha kila wanachogundua kumhusu MURO,Na inasemekana bwana MURO Aliwahi kudai na kupatiwa Tshs.4million kutoka kwa mke wa mmoja wa watuhumiwa wa EPA Akidai mbele ya mama huyo kwamba eti DPP Feleshi kamtuma yeye MURO akachukue fedha hizo kwake ili amsaidie mumewe.Huyo ndio Jerry Muro zaidi ya tunavyomjua.hivi nyie vipi? Kuna cctv imemnasa Jerry wenu akiwa na jamaa hotelini na Jerry wenu alivyo mjinga kamkana jamaa . Tulieni Jerry ni mlla rushwa.
bado tunasubili kuona charge sheet, kwa swala hili kufikishwa mahakamani mtu mzima anaenda kuumbuka....hatuhitaji mnajimu.Hapa ndo nimeamini kua kua na pingu si kosa kisheria!! maana kama ingekua kosa wangeliunganisha hapa!! kwa hiyo ishu ya pingu hakuna hoja ya msingi!!
UMENENA THE PLAYER,Tatizo humu watu wakimpenda mtu huwa hawaamini kwamba anaweza kukosea,Bwana Muro anatuhumiwa kwa utapeli kwanza,polisi wanamchukua kwa ajili ya maelezo then katika hali ya kawaida wanaanzisha uchunguzi wa tuhuma hizo wanagundua Kumbe bwana MURO anamiliki pingu wanatuambia hivyo na kumtaka MURO alete stakabadhi ya ununuzi wa hizo pingu kosa la polisi liko wapi?wataendelea kutujulisha kila wanachogundua kumhusu MURO,Na inasemekana bwana MURO Aliwahi kudai na kupatiwa Tshs.4million kutoka kwa mke wa mmoja wa watuhumiwa wa EPA Akidai mbele ya mama huyo kwamba eti DPP Feleshi kamtuma yeye MURO akachukue fedha hizo kwake ili amsaidie mumewe.Huyo ndio Jerry Muro zaidi ya tunavyomjua.
bado tunasubili kuona charge sheet, kwa swala hili kufikishwa mahakamani mtu mzima anaenda kuumbuka....hatuhitaji mnajimu.
UMENENA THE PLAYER,Tatizo humu watu wakimpenda mtu huwa hawaamini kwamba anaweza kukosea,Bwana Muro anatuhumiwa kwa utapeli kwanza,polisi wanamchukua kwa ajili ya maelezo then katika hali ya kawaida wanaanzisha uchunguzi wa tuhuma hizo wanagundua Kumbe bwana MURO anamiliki pingu wanatuambia hivyo na kumtaka MURO alete stakabadhi ya ununuzi wa hizo pingu kosa la polisi liko wapi?wataendelea kutujulisha kila wanachogundua kumhusu MURO,Na inasemekana bwana MURO Aliwahi kudai na kupatiwa Tshs.4million kutoka kwa mke wa mmoja wa watuhumiwa wa EPA Akidai mbele ya mama huyo kwamba eti DPP Feleshi kamtuma yeye MURO akachukue fedha hizo kwake ili amsaidie mumewe.Huyo ndio Jerry Muro zaidi ya tunavyomjua.
Dola zitazungumza pamoja kumkandamiza, kwani mahakamani ni safi sana? zengwe tu kote kote nao walikuwa wanamchukia basi tuu!
ushahidi wa Kimazingira unamaana kubwa, ila inategmea nani anakutetea na ninamnagani hakimu ama Judge anaelewa haya mambo....hayo mambo ndio yalimfanya jaji kushindwa kuunganisha ushahidi wa Polisi katika shitaka la Zombe...na tusubiri, ila lipo jambo linafuata baada ya mtu mzima mwenye dhamana kuumbuka.abunuwasi katika sheria kina kitu kinaitwa ushahidi wa kimazingira..vuta subira tuone mwisho wake.Hapa suala si ushabiki kama wa simba na yanga sheria ni msumemo.Ngoja ichukue mkondo wake
Kumbe bado hajasomewa...sasa mlete thread alivyoandika mi nikajua ndo shtaka lenyewe...Nimeongea na mwandishi wetu ambaye yupo Kisutu anasema bado hajasomewa mashtaka, lakini yupo Kisutu tayari. Kama kutakuwa na jipya tutafahamishana. Najua kuna members kibao hapa JF wanaoweza ku-access info toka Kisutu
Polisi wakikufikisha mahakamani shukuru Mungu. Sheria ni kitu kizuri ujue tu namna ya kwenda nayo.
Kuna watu wako vituoni miezi sita sasa, hata ndugu zao hawajui, kisa walikamatwa wakiwa na hela nyingi sasa wanakaa mpaka ziishe, yaani pesa uliyoandikisha kituoni huwa hairudi. Polisi wanadanganya watuhumiwa kuwa hawaruhusiwi kupiga simu halafu wanadai rushwa ili wawaruhusu kupiga simu. Na kama unaweza kutoa kitu kidogo hata uwe muuaji hukai rumande labda isikike sana kwenye vyombo vya habari.
Hongera Muro kwa kufikishwa mahakamani, maana sheria ni kama karata.