Regia Mtema
R I P
- Nov 21, 2009
- 2,970
- 873
Haya kale karisiti ka ile pingu kamepatikana na wananchi mnakaribishwa kujipatia pingu zenu kwa Tshs 25,000/= tu.Kova leta sinema nyingine maana wewe na cheo chako hata hujui sheria za nchi sijui cheo hiki ulukipataje.Kama kuna fisadi alikutuma umnyamazishe Jerry Muro amechemsha na wewe unadhlilsha cheo hicho unastahili kuwa mkuu wa mgambo kule Manyoni.Nenda shule angalau ujuejue sheria acha longolongo ulizozoea kule Mbeya.
ukimwangalia tu anavyoongea na kujitetea na anavyopepesa macho unajua tu kwamba hilo soo kalifanya na ndio zake hizo,anyway hilo analo.You are absolutely right, la kuomba radhi kwa Mhando silijui, ila Jerry ni mla rushwa sana tu.
Na toka apewe tuzo amevimba kichwa sana kama yule wa Chadema. Hasikii ushauri wala nini anajiona yupo juu sana.
ukimwangalia tu anavyoongea na kujitetea na anavyopepesa macho unajua tu kwamba hilo soo kalifanya na ndio zake hizo,anyway hilo analo.You are absolutely right, la kuomba radhi kwa Mhando silijui, ila Jerry ni mla rushwa sana tu.
Na toka apewe tuzo amevimba kichwa sana kama yule wa Chadema. Hasikii ushauri wala nini anajiona yupo juu sana.
kufungia waharifu!Naombeni kufahamu hivi kazi ya Pingu ni nini kwa raia wa kawaida?
Tanzania ni nchi ya amani na utulivu....wazee mnataka kumiliki silaha na pingu za nini?
"The LORD is on my side; I will not fear. What can man do to me?" Psalms 118:6
Acha majungu wewe, watu kama ninyi ndio manachangia kwa kiasi kikubwa sana kuisambaratisha hii jamhuri....unaweza kuweka ushahidi hapa hata wa kusikia vijiweni kuwa huyu bwa'mdogo JM ni mla rushwa? Tafadhali weka ushahidi, vinginevyo acha majungu.
hAYO YOTE NI MAGAZETI,LAKINI KUMBUKA KUWA kOVA KAMA BOSI WA JESHI LA POLISI KASEMA MTU BINAFSI HAWEZI KUMILIKI PINGU, SWALI LILE DUKA LINAMUUZIA HIZO PINGU NANI? JE POLISI WANANUNUA PINGU KWENYE HILO DUKA NA SIO RAIA?. JE KOVA HAKUJUA KUWA KUNA MADUKA YANAUZA PINGU?Tanzania Daima wanasema mwaka wa kutolewa risiti umefutikafutika.,nipashe wao wamesema ni 2008. Which is which?
Utata juu ya utata!
Mnafikiri Polisi watafanya uchunguzi huru hapo?
Tunaomba iundwe Tume tumechoka ifanye kazi mtasikia tu imeundwa wanakula 100mil.
Mh, hata makampuni ya ulinzi yanapingu pia, je mwandishi wa habari pingu za nini!
Wadau habari sana,
Tangu tukio la kukamatwa kwa mwandishi wa habari za uchunguzi JM mambo mengi yamejitokeza na yanaendelea kujitokeza, Lakini kikubwa ambacho nimevutiwa nacho ni kugundua kuwa raia anaruhusiwa kumiliki pingu, sasa wakuu naombeni mnifahamishe taratibu gani nifuate ili ikiwezekana niweze kuwa namiliki pingu.