TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

Kova leta sinema nyingine maana wewe na cheo chako hata hujui sheria za nchi sijui cheo hiki ulukipataje.............Nenda shule angalau ujuejue sheria acha longolongo ulizozoea kule Mbeya.

Inawezeakana ndio maana JM anasema " Kova ni mtu mdogo sana"!
 
Haya kale karisiti ka ile pingu kamepatikana na wananchi mnakaribishwa kujipatia pingu zenu kwa Tshs 25,000/= tu.Kova leta sinema nyingine maana wewe na cheo chako hata hujui sheria za nchi sijui cheo hiki ulukipataje.Kama kuna fisadi alikutuma umnyamazishe Jerry Muro amechemsha na wewe unadhlilsha cheo hicho unastahili kuwa mkuu wa mgambo kule Manyoni.Nenda shule angalau ujuejue sheria acha longolongo ulizozoea kule Mbeya.

Kila siku Jerry Jerry Jerry. Huyu ni mla rushwa tu kama wengine, ana bahati police wame *** up wakamkamata mapema ila siku yake itafika tu labda abadilike
 
Kila siku Jerry Jerry Jerry. Huyu ni mla rushwa tu kama wengine, ana bahati police wame *** up wakamkamata mapema ila siku yake itafika tu labda abadilike

FairPlayer are you still a 'fair player'?
 
Msikilizaji wa Wapo redio leo asubuhi ameshauri jeshi la polisi livunjwe lote, sisi tunasemaje?
 
Ndugu zangu wanajamii, mi naumia sana kwa jinsi hii kesi watu wanavyoichukulia!
jana kuna mtu kaniambia eti Muro ni kweli si msafi na amechuku mara kibao mihela kutoka kwa yule jamaa Wage na eti hii haikuwa mara yake ya kwanza kuchukua.
kilichonishangaza zaid ni kwamba Muro tayar ameishakiri kuchukua rushwa na ameomba radhi kwa bos wake Muhando, jamma aliyekuwa ananisimulia akasema nisubiri mda si mrefu kila kitu kitakuwa wazi juu ya hili sakata la mpiganaji wetu wa rushwa.
je kuna yeyete ana hizi news atujuze?
 
You are absolutely right, la kuomba radhi kwa Mhando silijui, ila Jerry ni mla rushwa sana tu.

Na toka apewe tuzo amevimba kichwa sana kama yule wa Chadema. Hasikii ushauri wala nini anajiona yupo juu sana.
 
habari ndo hiyo, ukweli utabainika tu, tuendelee kuangalia hii movie ya karne
 
Attachments

si uiweke tu hapa na story zenu za kujirudia

Muro aongeza utata
• Awasilisha risiti za pingu alizokamatwa nazo

na Martin Malera

SAKATA la mwandishi wa habari za uchunguzi, Jerry Muro, limeingia katika hatua mpya baada ya kubainika kuwa ana risiti za pingu ambazo polisi walimkamata nazo.
Umiliki huo wa pingu unaongeza utata katika sakata zima linalomhusisha na utapeli, ingawa linajibu swali la Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova aliyetilia shaka zilikotoka pingu hizo.
Juzi alikaririwa akimtaka Muro awapelekee polisi risiti, akisema si rahisi kupata pingu kwa kuwa "haziuzwi hovyo kama njugu."
Kamanda Kova alisema ni marufuku kwa raia kumiliki pingu, na kwamba kupatikana nazo ni kosa la jinai.
Alisisitiza kuwa pingu ni mali ya polisi, magereza na jeshi; hivyo mtu wa kawaida kukutwa nazo ni kosa la jinai. Na alidai kwamba Muro asingeweza kupata risiti.
"Pamoja na kumwambia atuletee risiti, tunajua hatafanikiwa kuzipata kwa kuwa pingu haziuzwi ovyo kwani mwenye mamlaka ya kumuweka nguvuni mtu ni polisi pekee," alisema Kamanda Kova.
Hata hivyo, jana Muro alilithibitishia Tanzania Daima kwamba anamiliki kihalali pingu na bastola aina ya CZ 97B namba A6466 iliyotengenezwa nchini Czechoslovakia.
Risiti hiyo inaonyesha Muro alinunua pingu hizo Mei 20 (mwaka umefutikafutika) katika duka la silaha la Mzinga Corporation lililoko Upanga, jijini Dar es Salaam, akapewa risiti namba 34357310.
Kwa mujibu wa risiti hiyo iliyoandikwa jina kamili la Muro, pingu hizo zilinunuliwa kwa sh 25,000.
Tanzania Daima ilipowasiliana na duka hilo la silaha, mmoja wa wafanyakazi wake ambaye hakutaka kutaja jina, alikataa kuzungumzia risiti hiyo kwa madai kuwa si msemaji.
Mfanyakazi huyo alilitaka Tanzania Daima kuwasiliana na Meneja Mkuu wa Mzinga Corporation, lakini hakupatikana. Ilidaiwa kuwa alikuwa nje ya ofisi.
Muro anayekabiliwa na tuhuma za kudai rushwa kwa vitisho pamoja na kukutwa na pingu isivyo halali, amekuwa gumzo tangu kuanza kwa sakata hili kutokana na utata wa taarifa zinazomhusu, hasa zinolewazo na polisi.
 
mi namshangaa huyu mwasibu wa Bagamoyo , maana kazi alishafukuzwa, na kama media kumwandika walimwandika from the day aliyotimuliwa na waziri mkuu. Sasa rushwa aliomwbwa ya nini? na alienda kuongea nini na Jerry Murro hadi akaombwa rushwa? halafu rushwa inaombwa au inalazimishwa kwa silaha? kwa kweli wamejichanganya na hata kama walitaka kumzima Jerry wangeweka mtengo ulioenda shule si huu waa danganya toto. Nowadays Tanzanians Know their rights so its time for government officials to change their ways of working rather than fighting people.
 
Haya Kova tunasubiri na wewe uje na Mpya sasa, nadhani ssa utadai risiti ya ile miwani ya yule fisadi wa Bagamoyo hahahaha Kovaaaaaaaaaaaa angalia usjie baki na KOVUUUUUUUUUUU la maisha
 
jamani Tz nainyooshea mikono na usikute hao jamaa wawili wakawa ni makachelo wa huyo Kova kuionyesha Tz kuwa walikuwa watatu..ni maoni yangu jamani..
 
Na suala hili limetinga bungeni leo, ambapo waziri mkuu ameitaka polisi kuongeza kasi ktk kuchunguza suala hili, ambapo ameilaumu polisi kwa kukimbilia haraka vyombo vya habari, kitu ambacho kimeleta mkanganyiko mkubwa kwa jamii.
 
thats anotrher step to reality, tunahitaji confirmation kutoka Mzinga corporation kama JM alinunua hizo Pingu then Kova aje atuambie kwanini JM asingeweza kupata Risiti ili hali kanunua kihalali
 
hapo patamu jamani...mie simo..
maadamu unaishi hapa TZ ni lazima uwemo, hapa tunajifunza jinsi polisi wetu walivyo, wamedai hawezi kuipata risiti, na sasa kaipata,

Leo kwa J.Muro kesho ni kwako kama hujui, labda ufe leo
 
Trailer ndio imeisha, na Movie ndio kwanza inaanza... Waiter, niletee popcorn na juice tafadhali...
 
Back
Top Bottom