Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
LOL!hatari kweli
Hakuna hatari.Ni single tu (ya Jerry na Kova) imehiti na itashuka chati muda si mrefu kuipisha nyingine kama kawaida yetu wabongo.
LOL!hatari kweli
Na wage naye atueleze kwa nini alikuwa tayari kutoa hizo mill 10 kwa Jerry. Tusijekuwa tunadeal na fisadi hapa. niliuliza tangu mwanzo ni kitu gani kilimfanya Wage akubali kutoa rushwa hiyo kwa Jerry?
Watanzania tunapenda mazingaombwe sana; tunapenda vichekesho na soap operas; tunapenda mambo mepesi mepesi! Nasubiri siku Bunge litakapoanza kujadiliana kwanini fulani amenyimwa unyumba!
.....Richmod imewashinda? ....kweli tunapenda mepesi mepesi sisi.....umbea umbea hivi!
HAPA NAMUUNGA MKONO mzee Pinda, wanatumia vyombo vya habari kwa manufaa yakujisafisha.Lile sakata la Jerry Muro, limetinga rasmi bungeni asubuhi hii kwenye kipindi cha maswali na majibu ya papo kwa papo.
Pinda amesema polisi wanatumia vibaya vyombo vya habari, na Jerry nae anatumia vyombo vya habari kuendeleza malumbano.
.....ina maana hujui mpaka sasa kama Wage ni Fisadi au laa?
Inawezekana,huwezi jua ati.Pengine Muro ni wa Usalama wa Taifa. Haaaaaaaaaaa