Hivi jamani......kweli inakujia akilini mtu amakutwa na bastola iko full hana risiti alafu akaachiwa kweli kwa dhamana ya kujizamini mwenyewe???? labda hizo stori wapelekwe watoto wa chekechea hata mtua asie enda darasani hatawaelewa?????

a million dollar question... Yaani haingii akilini mtu ana pingu na bastola anaachiwa halafu mtu ana mkanda au gwanda anawekwa ndani wiki!!!
...UPELELEZI UNAENDELEA

hapo hujanielewa sizungumzii umri bali uwajibikaji wao kiutendaji na namna kesi zao zilivyo tofauti,hata hivyo nakuunga mkono hii kesi ni kizunguzunguanaweza kuwa na umri mdogo, lakini akatenda kuliko mizee yenye umri wa baba yake, nani kakwambia uzee ndio utenda kazi, mbona tunamjadili huyu kijana, ujue ni ICON, kumbuka Biko alikufa akiwa na miaka 35 nakumbuka, lakini anaheshimika kule kwa madiba sambamba na kina Walter Sisulu, Oliver Tambo....
Babukijana nani alikwambia polisi wanakuacha bila upelelezi ukikamatwa na silaha isiyo na maelezo wala uhalali ikiwa imejaa risasi, hapohapo ukiwa na pingu.
hapo ndipo namimi nazidi kushangaa zaidi,sasa nnachojiuliza hivi kweli mtu kama jerry muro aliejitoa muhanga kufatilia wale matrafiki waziwazi bila kificho,leo hii akabambikiwa bastola na pingu ndani ya gari yake,na kesi ya UONGO KAMA KAMDAI yule afisa bagamoyo hongo nayeye wala hamjui na hana taarifa yoyote????halafu jamaa akamsingizia kama aliacha hata miwani ndani ya gari ya muro,na muro mwenyewe akajua ni uongo then akanyamaza tu?jamani hata mtu uwe mwoga vipi kuna kikomo,ina maana muro kapakaziwa mambo yooote hayo na akakaa kimya tu?tuwe na mapenzi na watu lakini tusipitilize wakikosea tuwakosoe sio tuwatetee tu.BK hivi kwa mtu kama JM anajijua fika yeye anawindwa kwa udi na uvumba kuhusu kuwalipuwa wala rushwa na madhambi mengineo kweli akurupuke tu akachukue rushwa ya 10 milioni kwa mtu alifukuzwa kazi na PM inakujia akilini kweli. JM anamlaka yapi ya kumrudisha mtu kazini alie fukuzwa kazi na PM. Huyo mhasibu alietimuliwa kazi kwani JM ndie alie sababisha ama ni uzembe wake kazini hadi ukafika kwa bosi wake PM akatimiliwa.
Hizi zote habari nakwambia ni ujanja wa kumnyamazisha JM asiendelee na mapambano yake ya kupinga rushwa.
JM kama upo jamvini usife moyo wala usikate tamaa mapambano bado yanaendelea wembe ni uleule

Nimeangalia video ya JM, maelezo yake yanaacha mianya mingi ya kumbana kisheria. Kama alivyoshauriwa na wengi JM atulie, aache kutoa maelezo maana baadae yanaweza kutumika against him... Anahitaji mwanasheria kuzungumza na vyombo vya habari (kama ni lazima) na kufuatilia suala zima.
Annina

wajameni... Bastola anamiliki kihalali kabisa. Mimi hilo nalijua. Lakini pingu ndio litu ambacho sielewi.