TBC journalist Jerry Muro held over alleged graft

kwa kweli Jerry needs some guidance on this!!!

Jerry anajua anachokifanya refer to his statement. "Aulize nimevitoa wapi, Kova is a very minor person, siyo jeshi la polisi yule na vitu siyo vya leo nina mwaka nao wa nne"

Statement hii ina ujumbe mkubwa sana kuhusu umiliki wa Jerry wa hivi vitu. Sema tu kwamba akibwabwaja sana atajikuta anavunja miiko ya kazi yake
 
Ni vigumu kujua ukweli kwani waandishi wa habari ni wala rushwa wakubwa... polisi nao wala rushwa wakubwa... labda tuseme ngome droo..
 
Nimeliona hili, ndio maana nikasema atulie kama alivyoshauriwa na wengi...unless ni maelekezo toka kwa AC...

Annina
 
Mh. Dr. Mwakyembe aliposema jeshi la polisi limepitwa na wakati na halina weledi, sikumwamini lakini leo naanza kuunganisha dots na kupata picha kamili.

Kazi tunayo watanzania wenzangu..................hivi hayo maelezo ya Kova aliyotoa ndiyo aliyowaahidi wanahabari kueleza kwa undani toka jana????

hii ni kashfa kubwa Mwakyembe alilalamika wengi walimpinga lakini kwa hili tukio mwanga unaanza kuonekana, kama matukio haya hayapangwi ni kwanini mpaka leo hatujawahi sikia waliosababisha ajali ya MH Salome mbatia wameshtakiwa?? Ikumbukwe Mh Zitto alikuwa safarini na yeye, na kwa Mh Mwakyembe mbona waliosababisha ile ajali na wao hawajashtakiwa??? Kila siku twasikia majambazi wameuwawa je ni kweli wanaouwawa ni wezi???? Tanzania kazi kweli kweli

Mpiganaji Muro pole saana angalia sasa usijewekewa sumu au ajai ya kusababisha inaelekea umegusa pahala ambapo palikuwa hapagusiki
 
taarifa nilizopata muda si mrefu mwandishi wa habari aliyejipatia umarufu kwa kufichua rushwa za trafiki naye amekamatwa kwa kuomba rushwa ya milioni 10

JERRY MURO ATINGA GLOBAL, APASUA JIPU, PWAA!!!

Videos
pix.gif
1265037100_exclusiveusifutenew.jpg

Jerry Muro, akiwa katika chumba cha habari cha gptz.com jioni hii akipasua jipu kuhusu sakata lake!
 
...iko hivi.Ingawa inaonekana kwamba kuna mazingira yasiyokuwa wazi kwasasa pia nashawishika kusema kwamba kuna mambo ambayo Muro anapaswa kuwaeleza watanzania...kwa wenye akili hayaingii akilini, msiotaka safisheni vinywa:
1. Je ni kweli walirekodiwa katika sehemu tofauti na huyo mlalamikaji? Kama ni kweli walikuwa wakipanga nini? 2. Je na miwani ya huyo mlalamikaji ilifika vipi ndani ya gari ya Muro?
3. je simu ya Muro imeonekana kuwasiliana na mlalamikaji?
Hilo lakuwa na silaha nalo watanzania wanastahili maelezo sio hoja ya kusema sio kosa alilokamatiwa (au kusema Kova ni mtu mdogo- huko ni kukweppa hoja kwa kitoto) kwani ukikamatwa kubaka au wizi, polisi wakakuta cocaine basi wataacha kwa vile walikufuata kwa kubaka au wizi. Lets not be shortsighted. Nilitegemea Muro atasema ana kibali namba xxxx cha tarehe xxxxx au anafanya kazi mahali x amabpo anastahili kuwa na silaha aina xxx. Sio kukwepa hoja kama watu wote ni ngedere.
4. Je maelezo ya mlalamikiwa juu ya kuombwa rushwa yana uzito upi kiushahidi.
Muro ameshughulikia tatizo la Trafiki vizuri sana..lakini hilo halimpi mtanzania immunity ya kufanya kosa au kutochunguzwa akituhumiwa..au polisi wangesema walipopata malalamiko "samahani sana ndugu, muro ndio zamu yake kutushughulikia uje mwakani" ebooooo...!!!
Tusichukue upande tukashindwa kuappreciate facts zinazotia dosari maelezo ya muro the great. Lakini ukiamua kujishort sght juu yako na upembuzi wako wa kibisa
 
Sijasomea u polisi lakini kwa kusikiliza tu story anayotoa Kova utaona kwamba haina mjazo wowote, hivyo inaonekana ni mambo ya kukomoana.
 
Ukiangalia historia ya waandishi wengi wa habari Tanzania, wengi huwa wanapindisha habari kutokana na mapenzi tu, ushawishi kama rushwa n.k. Sitoshangaa Jery Muro kupokea 10 ml ili kublock habari isiende hewani!! Na ile hasa labda tuite Blackmailing! After all what is he paid at TBC? Merely 4 to 5 lakhs! So even me when I got a chance of getting 10 ml I will got for it..
 
Jerry Muro amezungumza live kwenye kipindi cha Usiku wa Habari live on TBC, usiku huu. Nimemsikiliza Jerry kwa makini na kumsoma in between the line, anasema ukweli kwa asilimia 100% kuwa hajapokea rushwa yoyote!. That is a fact!.

Pamoja na ukweli huu, bado Jerry anaacha maswali mengi bila majibu, haswa inconsistance kwenye kila anapoongea, hayo yatakuja mtundika msalabani ajikute akisulubiwa bure bila hatia, haswa anaposema hamjui kabisa huyo jamaa ndio na yeye alishangaa kumuona pale, jamaa alisharipoti kwenye gari ya Jerry kuna bastola na pingu, na yeye alisahau miwani yake nyeusi, hivyo vyote vimekutwa ndani ya gari, it ncan be just a coincidence, in fact its amaizing coincidence!.

Kwa vile Jerry ni mpiganaji na lengo ni kumsaidia, ushauri wangu muhimu kwa Jerry, "Don't talk too much, utalikoroga"!. Kamanda Kova na vijana wake, tayari wameshalikoroga, cha muhimu ni Jerry kunyamaza na kuwaachia hiyo kamba, wajinyonge wenyewe.
 
HII NDiO dhana ya ULINZI SHIRIKISHI AU POLISI JAMII????:

Kwamba, ukihisi tukio unakimbia haraka kwenda kuripoti polisi

Kwamba, Ukiwa maarfu au ukiwa waonekana ni sindano kwa polisi, Polisi hata kama haiwahusu wao watakuwekea mtego, ikiwemo CCTV kukunasa

Kwamba, Polisi wanajiandaa kukufuatilia na kukukamata kwa silaha kali hata kama kosa ni dogo

Ni kwamba, kabla ya mtuhumiwa wa uhalifu kukamatwa, Kamanada Mkulu wa Kanda au RPC anawahi chap kuwawaita wandishi wa habari ili waje kushuhudia tukio la kukamatwa kwa mhalifu ili watoe kwenye vyombo vya habari kuuthibitihsi umma kuwa kuna mhalifu amekamatwa.

Kwamba, maelezo ya mtuhumiwa wa uhalifu na ya mlalamikaji yakisha kuchukuliwa, kama sehemu ya ushahdi ambao unapaswa kufikishwa Mahakamani au maelezo ya awali kwenye vyombo vya Juu vya Sheria ili kuthibitisha kama kuna kosa akiwemo kwa Mkurugezni Mkuu wa Mashtaka ambaye ndie mwenye dhamana ya mashtaka yote nchgini (DPP), Mtuhumiwa anaachiwa kwa dhamana lakini ssiku ya pili Kamanda Mkulu wa Kanda anasimama kwenye Kadamnasi na kuanika yote ambayo anaona kwake inafaa umma ambao wanaombwa kushirikiana na polisi kufichua waharifu kuyaamini....

Kwamba, hata kama kesi haina kichwa wala miguu na wala hakuna uwezekano wa mtuhumiwa kutiwa hatiani na mahakama, Kamanda Mkulu wa Kanda anasimama na kuelezea kuwa " mtuhumiwa ametenda kosa la jinai lakini hatujui kama Mwanasheria Mkuu watasemaje" kwa maana ya kwamba hana uhakika na anayoyasema.

Kwamba, raia wema waamini kwa taarifa za kiipolisi kuwa tukio la uharifu limetendeka

Kwamba, Kamanda Mkulu wa Polisi anashindwa pia kumficha mleta taarifa za uhalifu kwa sababu tu mtuhumiwa wa uharifu ana julikana kwenye jamiii na ni maarufu, hivyo MKulu anadiriki kuiambia jamiii kuwa ameamua kufanya hivyo ili yeye na jeshi lake wasieleweke vibaya labda wanamaslahibinafsi. kwenye hilo suala....

Nakwamba, wananchi wanabaki na mshanga, nini maana ya kutangaza mtu aliye kamatwa kwa tuhuma kabla ya kesi haijaenda mahakamani...??..Kama hakuna nia mbaya ni kwa nini itangazwe???.na ni matukio mangapi ya kukamatwa kwa waharifu yamewekwa hadharani na pia kufafanua kwa kina ushadi uliopelekea mharifu kukamatwa.
 
Jerry Muro amezungumza live kwenye kipindi cha Usiku wa Habari live on TBC, usiku huu. Nimemsikiliza Jerry kwa makini na kumsoma in between the line, anasema ukweli kwa asilimia 100% kuwa hajapokea rushwa yoyote!. That is a fact!.

Pamoja na ukweli huu, bado Jerry anaacha maswali mengi bila majibu, haswa inconsistance kwenye kila anapoongea, hayo yatakuja mtundika msalabani ajikute akisulubiwa bure bila hatia, haswa anaposema hamjui kabisa huyo jamaa ndio na yeye alishangaa kumuona pale, jamaa alisharipoti kwenye gari ya Jerry kuna bastola na pingu, na yeye alisahau miwani yake nyeusi, hivyo vyote vimekutwa ndani ya gari, it ncan be just a coincidence, in fact its amaizing coincidence!.

Kwa vile Jerry ni mpiganaji na lengo ni kumsaidia, ushauri wangu muhimu kwa Jerry, "Don't talk too much, utalikoroga"!. Kamanda Kova na vijana wake, tayari wameshalikoroga, cha muhimu ni Jerry kunyamaza na kuwaachia hiyo kamba, wajinyonge wenyewe.
 
Jerry Muro amezungumza live kwenye kipindi cha Usiku wa Habari live on TBC, usiku huu. Nimemsikiliza Jerry kwa makini na kumsoma in between the line, anasema ukweli kwa asilimia 100% kuwa hajapokea rushwa yoyote!. That is a fact!.

Pamoja na ukweli huu, bado Jerry anaacha maswali mengi bila majibu, haswa inconsistance kwenye kila anapoongea, hayo yatakuja mtundika msalabani ajikute akisulubiwa bure bila hatia, haswa anaposema hamjui kabisa huyo jamaa ndio na yeye alishangaa kumuona pale, jamaa alisharipoti kwenye gari ya Jerry kuna bastola na pingu, na yeye alisahau miwani yake nyeusi, hivyo vyote vimekutwa ndani ya gari, it ncan be just a coincidence, in fact its amaizing coincidence!.

Kwa vile Jerry ni mpiganaji na lengo ni kumsaidia, ushauri wangu muhimu kwa Jerry, "Don't talk too much, utalikoroga"!. Kamanda Kova na vijana wake, tayari wameshalikoroga, cha muhimu ni Jerry kunyamaza na kuwaachia hiyo kamba, wajinyonge wenyewe.
 
Najua kuhusu hilo lakini sikiliza maelezo kova aliyotoa hivyo vitu kakutwa navyo na kakiri ni vyake,sio kilakitu unangangania polisi kubambikia sikiliza tena kova anasema nini sio unakurupuka tu.na maelezo ya jamaa alieombwa rushwa nikwamba Jerry alimtisha na bastola na pingu.

Jerry mwandishi wa habari pingu na bastola vyanini, pingu haziuzwi popote bongo bastola sawa waweza sema ulinzi wake haya risiti hana na imekutwa loaded.

Jamani kwani uhalali wa mtu kumiliki bastola ni kuwa na risiti? Naomba nieleweshwe hapa!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom