Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,161
- 26,668
Kwanini yawe matambiko mkuu?Kuna matambiko yanaendelea muda wote huu ama!!
Hakuna matambiko ni taratibu tu wamejiwekea,by the way tar 11 ni Thanksgiving service, anazikwa kesho!
Kwanini yawe matambiko mkuu?Kuna matambiko yanaendelea muda wote huu ama!!
Kila watu wana taratibu zao jamaniMda wote huo. Walikua hawaamini ashakufa nn
Sanaa,niliona south Africa pia!Nchi za wenzetu wa west Africa huwa wanachukua mda mrefu kuzika. Wala hamna maajabu
Tar 11 ni Thanksgiving service!
Mwili wa TB Joshua unatarajiwa kuzikwa Mwezi huu, Nchini Nigeria
Kwa Mujibu wa ripoti kutoka Nchini Humo TB Joshua atapumzishwa kwenye Makazi yake ya Milele Siku ya Jumapili (julai 11, 2021).
Ikumbukwe TB Joshua alifariki dunia akiwa na umri wa miaka 57 mwaka huu juni, 5 nchini humo.
Taratibu za mazishi zitaanza hii leo saa 12 jioni kwa saa za Nigeria na kuruka live kupitia runinga ya Kanisa hilo ambayo ni Emmanuel TV.
TB Joshua ndiye mwanzilishi wa kanisa la Synagogue Church of All Nations (Scoan) na kituo cha televisheni cha Emmanuel TV ambacho amekuwa akikitumia katika mahubiri yake na kuwavutia watu wa mataifa mbalimbali.
PIA SOMA:
Picha akiwa kalala kwenye jeneza

Jeneza lipo transparent hivo duh😪
Asante kwa hii Heaven Sent 👏Wenzetu Magharibi wanaamini mtu akifa sio mwisho wake, kuna maisha mengine baada ya kufa. Na mazishi yao huwa ni more of a celebration, kufurahia maisha ya mpendwa wao hapa duniani na kumtakia kheri kwenye maisha yake mapya. So anapokufa wanamfanyia the so called befitting burial. Kwa hiyo lazima wachukue muda kujipanga kumfanyia hiyo sherehe, na ndiyo hapo inategema kati ya mtu na mtu (titles). Nakumbuka first time nasikia hili, kuna Nigerian Actor alikuwa anaitwa Justus Esiri alikuwa amefariki; imepita miezi miwili ndiyo nakuja kusoma eti anazikwa. Baba yake Yemi Alade na yeye alifariki January akaja kuzikwa May n.k
Hiyo befitting burial ndiyo unakuta jeneza la gharama, Aso ebi (sare, kama mnavyojua mishono ya kinigeria) + grand party. Na naonaga wanakuwa wanaimba na kucheza haswa (nawazia kilio cha wanyaki). So kwa wenzetu wakifiwa ni stress mara mbili; kwanza mmempoteza ndugu yenu, na pili ni gharama za mazishi; inakuwa kama mashindano sasa nani alizikika kifahari zaidi. Lakini kwa Northeners ambao wengi ni Muslims, mazishi yao ni chapchap kama kawaida.
Nigeria na wanyakyusa wanaendana sana kuanzia huko kulia, kuimba, makanisa lundo, miili yao, kuigiza usanii balaa na vitu vingine vingi.Wenzetu Magharibi wanaamini mtu akifa sio mwisho wake, kuna maisha mengine baada ya kufa. Na mazishi yao huwa ni more of a celebration, kufurahia maisha ya mpendwa wao hapa duniani na kumtakia kheri kwenye maisha yake mapya. So anapokufa wanamfanyia the so called befitting burial. Kwa hiyo lazima wachukue muda kujipanga kumfanyia hiyo sherehe, na ndiyo hapo inategema kati ya mtu na mtu (titles). Nakumbuka first time nasikia hili, kuna Nigerian Actor alikuwa anaitwa Justus Esiri alikuwa amefariki; imepita miezi miwili ndiyo nakuja kusoma eti anazikwa. Baba yake Yemi Alade na yeye alifariki January akaja kuzikwa May n.k
Hiyo befitting burial ndiyo unakuta jeneza la gharama, Aso ebi (sare, kama mnavyojua mishono ya kinigeria) + grand party. Na naonaga wanakuwa wanaimba na kucheza haswa (nawazia kilio cha wanyaki). So kwa wenzetu wakifiwa ni stress mara mbili; kwanza mmempoteza ndugu yenu, na pili ni gharama za mazishi; inakuwa kama mashindano sasa nani alizikika kifahari zaidi. Lakini kwa Northeners ambao wengi ni Muslims, mazishi yao ni chapchap kama kawaida.
Nigeria na wanyakyusa wanaendana sana kuanzia huko kulia, kuimba, makanisa lundo, miili yao, kuigiza usanii balaa na vitu vingine vingi.
Nope, ni kweli. Sema ilikuwa ni ajali ndogo na ilikuwa controlled mapema, na haikutokea kwenye congregation, bali kwenye moja ya store houses zao.Tar 11 ni Thanksgiving service!
Watching live from 5th july ,hakuna moto wowote uliolipuka,mambo ya mitandao ,duh!
.Wenzetu Magharibi wanaamini mtu akifa sio mwisho wake, kuna maisha mengine baada ya kufa. Na mazishi yao huwa ni more of a celebration, kufurahia maisha ya mpendwa wao hapa duniani na kumtakia kheri kwenye maisha yake mapya. So anapokufa wanamfanyia the so called befitting burial. Kwa hiyo lazima wachukue muda kujipanga kumfanyia hiyo sherehe, na ndiyo hapo inategema kati ya mtu na mtu (titles). Nakumbuka first time nasikia hili, kuna Nigerian Actor alikuwa anaitwa Justus Esiri alikuwa amefariki; imepita miezi miwili ndiyo nakuja kusoma eti anazikwa. Baba yake Yemi Alade na yeye alifariki January akaja kuzikwa May n.k
Hiyo befitting burial ndiyo unakuta jeneza la gharama, Aso ebi (sare, kama mnavyojua mishono ya kinigeria) + grand party. Na naonaga wanakuwa wanaimba na kucheza haswa (nawazia kilio cha wanyaki). So kwa wenzetu wakifiwa ni stress mara mbili; kwanza mmempoteza ndugu yenu, na pili ni gharama za mazishi; inakuwa kama mashindano sasa nani alizikika kifahari zaidi. Lakini kwa Northeners ambao wengi ni Muslims, mazishi yao ni chapchap kama kawaida.
Nakijua sana, zamani walikua mwezi mzima ila sasa wanabadilikaDingi unakijua kilio cha mnyaki lakini?
RDC nako msiba km sherehe tu km mgeni unaweza sema wanakufuru kumbe no taratibu zaoNigeria na wanyakyusa wanaendana sana kuanzia huko kulia, kuimba, makanisa lundo, miili yao, kuigiza usanii balaa na vitu vingine vingi.
Kwanini yawe matambiko mkuu?
Hakuna matambiko ni taratibu tu wamejiwekea,by the way tar 11 ni Thanksgiving service, anazikwa kesho!
....acha matusi Sasa!Nigeria na wanyakyusa wanaendana sana kuanzia huko kulia, kuimba, makanisa lundo, miili yao, kuigiza usanii balaa na vitu vingine vingi.
Onyesha nilipo andika matusi....acha matusi Sasa!
Kwa hilo waislam 2 wagalatia 0