Please...tukubali kutokukubaliana bila kashfa.Na tujifunze kutofautiana bila kuchafuana na kukashifiana kwa kutofauti zetu za dini Maana kwa kukashifu hamsaidii yeyote sie unayemuelekeza wala Mungu unayemuabudu.
TB Joshua au Manabii wowote wale huwa HAWATABIRI bali Wanazungumza yale MUNGU AMEWAONESHA. Suala la Kutoa Unabii lilikuwepo tangu zamani na wala si jambo la Kushngaza. Mkimwabudu Mungu katika Roho na Kweli Kutoa Unabii suala la Ajabu sana.
Mh! Haya bhana, siwezi kuingia kwenye malumbano ya dini...
Na video niliyoiweka umeiona?
Wajinga ndio waliwao!
Na video niliyoiweka umeiona?
Wajinga ndio waliwao!
Weye unawakubali wapiga ramli eeenh???Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.
Wajinga ndio waliwao
Mbona ndege haijapatikana bado?? Mbona Arsenal imeshinda kikombe na hivyo kukinzana na utabiri wake?? Utabiri ni ujanja ujanja tu wa kucheza na nyota na mwendo wa matukio, ni kama Shekh Yahaya alivyokuwa anatabiri kiujanja ujanja tu.
Binafsi awe mtu wa Mungu au shetani, akishajiingiza kwenye utabiri tu huyo kwangu mchawi maana utabiri ni kucheza na nyota na inakuwa kama unaingilia kazi za Mungu.
Ndugu yangu mbona unaongea kama umekatwa kichwa? Ni wapi nimemtukana TB Joshua?Sasa kwenye hii post mnayo mtukaka mtumishi wa Mungu, sio mambo ya dini?
Wewe unaita Sahih HADITH KASHFA, Astghafurillah. Wache kufuru weye.
MUHAMMAD SIO MTUME KWASABABU HAKUWAI ONGEA NA MUNGU
Leo ningependa tujikumbushe mambo machache ambayo labda hatukuyatilia maanani. Mitume wote na manabii wote wa Biblia waliwai ongea na Mungu. Lakini, Mtume wa Allah "Muhammad" hakuwai ongea na Mungu HATA MARA MOJA. Je, utume wake tutauamini vipi maana hakuwai ongea na aliye mtuma?
Lakini Mitume wote wa Biblia waliongea na Mungu.
1. Musa anoangea na Mungu: Kutoka 3:1-21
2. Elia anaongea na Mungu: 1 Wafalme 19- Soma yote
3. Paulo anaongea na Mungu: Matendo ya Mitume 18:9
Hiyo ni mifano michache kutoka Biblia.
Kama Muhammad alikuwa Mtume wa Mungu, kwanini hakuongea na Mungu?
Ndugu yangu mbona unaongea kama umekatwa kichwa? Ni wapi nimemtukana TB Joshua?
Je, umeona sehemu yoyote niliyo-comment kuhusu huyo unayemuita mtumishi wa Mungu?
Kama ungenisoma vizuri nimesema ni vizuri kukaa kimya na kufuatilia mjadala kama nilivyofanya
mimi badala ya kuleta kashfa kwa imani za wengine,au kukaa kimya ni kumkashifu TB Joshua?
Ni vizuri kama una matatizo yanayokusumbua ukatafuta njia muafaka ya kuyatatua badala
ya kujaribu kuyahamishia JF kwa watu wasiohusika...
Mkuu ebu angalia heading ya thread hii alafu linganisha na contents zako...hivi zinaendana??
Cha pili jiulize...je kwa hayo humu unadhani utafanikisha nin zaidi ya kuwachukiza wengine?Mungu ni wa utaratibu na huwezi kufanikisha lolote kwa kukashifu.
Teh teh teh! Kaazi kwelikweli. Ki ukweli badala ya kukasirika nimejikuta nacheka.Sasa unanikata na kichwa? Mungu Yesu akuhurumie.
Hivi nilipo weka ayats and sahihi hadith zao sasa imekuwa kashfa. Lakini watu wanakashifu husemi kitu? Au ni ile Islamaphobia?
Hakika: Mithali 27: 5 Lawama ya wazi ni heri, Kuliko upendo uliositirika.
Picha ya uongo mtupu. [/QUO
TE]
Ndio mnavyodanganyana hivyo?
Hebu tembelea kwenye hiyo sura ukasome "context". 69. SURAT AL-H'AAQQAH
Hakika Wajinga ndio waliwao.
Wakati fulani hapa jf kulikuwa na mjadala kuhusu huyu binadamu. Yaelekea ana maono ya hali ya juu. Ametabiri mengi na yametokea. La karibuni ni la mama joyce banda kushindwa urais na kweli yametimia. Swali langu, mtu huyu ni nabii wa Mungu tunayepaswa kumtambua hivyo? Nauliza kwa sababu kuna mengi ya ajabu anayofanya.
Ngoja basi niwe mahsusi kwa kadri iwezekanavyo.
Ni hivi, naomba uniandikie orodha ya ma genius 10 wa Kitanzania, walio Tanzania, wafu na walio hai.
Nimekuwa mahsusi vya kutosha?
Mbona contents zanazo Mtukuka husemi?Nipo hawa kutowa daawah kwa wasio amini.
MUHAMMAD ALIPAGAWA NA MASHETANI TOKEA UTOTO WAKE
Imetafsiriwa na Guillaume katika Ishaq Ukurasa wa 72
Shangazi yake alisema kwangu, "Nina hofu kuwa huyu mtoto ameshikwa na mfadhaiko, hivyo ngoja nimrudishe kwa familia yake kabla hali yake kuwa mbaya zaidi. Mama yake Muhammad akasema kumetokea nini kwa mtoto wangu? Akasema, NINA HOFU KUWA MUHAMMAD AMEINGIWA NA SHETANI, akanijibu, NIKWELI MUHAMMAD AMEPAGAWA NA MASHETANI
Ingia kwenye huu uzi kwanza Nyani Ngabu naona uliuchangia https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-historia/358803-tanzanias-military-geniuses-1812-2012-a.html