TB Joshua kiboko!


Wewe kweli kichwa maji hata wachawi unasema wana maono na manabii wa mungu?
 

Hata mimi naBET sana kwa Muhindi afu mostly huwa nashinda sasa sijui na mm na maono ya hali ya juu au?
 
Kuna tetesi yakuwa Dr Slaa anatarajia kwenda kanisani kwake kabla ya uchaguzi.
 

[video=youtube_share;hBppQdA8whk]http://youtu.be/hBppQdA8whk[/video]
 
Wewe mbona unabisha bisha kila hoja? Au unakabusha kachanga kanachipukia?

Matendo ya Mitume 2: 16-18

1
Haya sasa wewe mwenye Hoja weka Maandishi yako yanayoonesha kwamba Unabii Ulikoma
 
Matendo ya Mitume 2: 16-18

1

Haya sasa wewe mwenye Hoja weka Maandishi yako yanayoonesha kwamba Unabii Ulikoma

Hayo uliyoweka hapa umeandika wewe? Na kama ilitabiriwa hivyo mbo wewe haujawahi kufanya lolote kati yayo? Au huo umri uliondika wewe haupo?
 

Kwa hali hii tuna kazi sana kuwaelimisha watu kama nyie ambao jambo dogo mko tayr kuamini /kuabudu.
 
Huyu TB JOSHUA Siyo wa KAWAIDA.Hatuamini kwa UGUMU wa MIOYO YETU.BASI TU..,
 
Ndiyo, nataka uwataje kwa majina.

wapo wengi tu, hata huko Bariadi wapo pia, kuna wachonga vinyago hata kwenye miziki pia, wachoraji mabingwa hata wengine nikiwataja huwezi kuwajua hebu cheki hii definition kwanza
an exceptional natural capacity of intellect, especially as shown in creative and original work in science, art, music, etc

A genius is a person who displays exceptional intellectual ability, creativity, or originality, typically to a degree that is associated with the achievement of an unprecedented leap of insight. This may refer to a particular aspect of an individual, or the individual in his or her entirety; to a scholar in many subjects (e.g. Gottfried Wilhelm Leibniz or Leonardo da Vinci)[SUP][1][/SUP] or a scholar in a single subject (e.g., Albert Einstein or Charles Darwin). There is no scientifically precise definition of genius, and the question of whether the notion itself has any real meaning has long been a subject of debate.
hapo kwenye red unaweza ukaelewa zaidi...

kwa muktadha huu ninaweza kukutajia mmoja wapo ambaye unamfahamu alikuwa ni Julius Kambarage Nyerere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…