TB Joshua kiboko!

Marekani mtu kuwa genius mnatumia vigezo gani? Ulishawahi fanya IQ test?

Sijui, lakini kutumia maneno ya Kiingereza ambayo hayatumiwi katika maongezi ya kila siku hakumfanyi mtu kuwa genius.

Sijawahi hata siku moja kuona au kusikia vile vitoto vya Spelling Bee vikiitwa vi-genius.
 
Mkuu we acha tu ....!!
 
utabiri na unabii ni tofauti, eleza jinsi unavyofahamu unabii pia ili tujue sasa kama yeye ni mtabiri au nabii.
 
TB Joshua au Manabii wowote wale huwa HAWATABIRI bali Wanazungumza yale MUNGU AMEWAONESHA. Suala la Kutoa Unabii lilikuwepo tangu zamani na wala si jambo la Kushngaza. Mkimwabudu Mungu katika Roho na Kweli Kutoa Unabii suala la Ajabu sana.
 
No wonder why this place is so godforsaken!

Maana sampuli kama hizi ndo zina run things nchini.

Eti TB Joshua kiboko.....good grief.
ndio wahariri wanaoitwa ikulu kwa press release!
Nadhani Jacton ni mmoja wa wanamtandao matapeli waliopo hapa mjini wanaandkisha watu kwenda kwa TB JOSHUA!
 
Sijui, lakini kutumia maneno ya Kiingereza ambayo hayatumiwi katika maongezi ya kila siku hakumfanyi mtu kuwa genius.

Sijawahi hata siku moja kuona au kusikia vile vitoto vya Spelling Bee vikiitwa vi-genius.
ni kweli kabisa kutumia mamisamiati magumu huo sio u genius kwa maana nyingine kingereza ni lugha ya kawaida tu, hata sisi huku bongo vigezo vya namna hiyo hatuvitumii...
 
Sioni cha ajabu kwa Sababu Neno la Mungu (Ambaye ndiye Mungu) linasema

Matendo ya Mitume 2: 16-18

16 lakini jambo hili ni lile lililonenwa kwa kinywa cha nabii Yoeli,
17 Itakuwa siku za mwisho, asema Mungu, nitawamwagia watu wote Roho yangu, na wana wenu na binti zenu watatabiri; na vijana wenu wataona maono; na wazee wenu wataota ndoto.
18 Naam, na siku zile nitawamwagia watumishi wangu wanaume na wanawake Roho yangu, nao watatabiri.
 
I Believe in Him Toka zamani.. Naangalia Videos zake pia

Si kila Mtu atamwamini kwahiyo Play your part kama unamwaminj na Iwe hivyo..

Siku zote Adui wa Mungu hadumu lazima ataanguka. Maana tutamtambua kwa Matendo yake
 
Utabiri wake kwa Arsenal vipi?

Wajinga ndio waliwao.
 
I Believe in Him Toka zamani.. Naangalia Videos zake pia

Si kila Mtu atamwamini kwahiyo Play your part kama unamwaminj na Iwe hivyo..

Siku zote Adui wa Mungu hadumu lazima ataanguka. Maana tutamtambua kwa Matendo yake

Matendo ya Mitume 5:38-39

Mwalimu wa Sheria za dini ya Kiyahudi anawapa Somo Wenzake namna bora ya Kudeal na Roho

38 Basi sasa nawaambia, Jiepusheni na watu hawa, waacheni; kwa kuwa shauri hili au kazi hii ikiwa imetoka kwa binadamu, itavunjwa,
39 lakini ikiwa imetoka kwa Mungu hamwezi kuivunja; msije mkaonekana kuwa mnapigana na Mungu.
 
Mbona nawewe unaweza kutabili vizuri tu.. kwa mfano.. mimi nilitabili ndoa ya vicky itashindikana na imekuwa..
 
ni kweli kabisa kutumia mamisamiati magumu huo sio u genius kwa maana nyingine kingereza ni lugha ya kawaida tu, hata sisi huku bongo vigezo vya namna hiyo hatuvitumii...

Nyie huko bongo mnatumia vigezo vipi?
 
mi ndo maana hata wanamfuata nawaona kama machizi tu..
 
mi ndo maana hata wanamfuata nawaona kama machizi tu..

Kwani kuna Mtu amekulazimisha Kumuamini TB joshua mpaka unawaita Watu machizi?

Haya Kheri wewe uliyemzima na Akili nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…