Tb Joshua alivyonipa utajiri


Mkuu si hivyo, hatuna mgogoro na TBJ. Tumechangia kwa kadiri ya maelezo yake. Akili ya mwanadamu yeyote ina utashi wa asili wa kutambua jambo, na hata hivyo inawezekana; kila maji yana mkondo wake.
 
Kuna mdada mmoja wana ofisi hapo posta
jengo la vitafunwa
wanasema ndiye wakala au nani sijui wa tbjoshua hapa bongo.
cha ajabu hata hayo maji huwa wanayauza.
Mamndenyi, huyu matha kaaya unaenzungumzia ni yupi?
 
Huu utapeli tu, mara unasema Ulikua husimamishi uume mara utajiri,hivi kweli Jamani unaweza Kujenga nyumba kama Nyumba sio kibanda kwa miezi 3??!!! kweli??? hvi nyie mnaojiita walokole kwanini mnapoteza watu hivyo??!! Tujiulize je ulienda kwa tatizo la UUME au Utajiri???!! je hayo maji yana mahusiano gani na Mungu /Yesu??!! huu ni utapeli tu na hakika nyie mtaungua sana siku ya Mwisho...
 
Sijawahi kuona Mkurya mlongo kama wewe poti mleta mada, tena usitumie hilo jina la Chacha unatuchafua sana...
 

kitaja umesema kwel kaka, kwa uelewa wangu wa biblia miujiza watu wa Mungu wanaifanya ili kondoo waliopotea wamrudie Mungu na sio kutajirika namna hiii.... people lets wake up na tujaribu kuridhika na tulivyonavyo...... basi kila Mtu atumie annointing water alafu tuone dunia itakuaje, and why do we have to buy the water!???????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…