Tuambie hizo restaurant ziko wapi na zinaitwaje,mbona hili swali unalikwepa wakati limeulizwa na wengi.??
Mambo ya Mungu huwa hayahitaji uthibitisho. Unachotakiwa kufanya ni kuamini tu
Yaaani ni sheeda
Tuje tukuongezeee mapesa
mwenzako ndicho anachoamini na matokeo yake ndo kama alivyosema. wewe kama huamini uchape tu lapa maana unapingana na ukweli ambao umedhihirika kwake. nyie watu wa jf mna matatizo na mnapenda kufuata mkumbo unacoment kwa kuangalia kwanza mwenzako kasmamia wapi. Angetoa post ya kumponda TBJ mngemuunga mkono asilimia zote. ila hapa huwezi kujua alikuwa amewekeza kiasi gani na akaja kuongeza kiasi gani wewe unakataa tu as if unamfahamu.
weka picha tuone watu walivofurika mpaka chooniNilichosema ni uhakika mtupu. Sijapunguza wala kuongeza neno. Mambo ya rohoni hayapaswi kuaminiwa na watu wa mwilini. Kwahiyo sipati shida ninapoona kuna idadi kubwa ya watu wanabishia ushuhuda wangu.
Hivi kiutaalamu nyumba inaweza kumalizika ndani ya miezi mitatu?
weka picha tuone watu walivofurika mpaka chooni
Hivi mtu akiokoka anashabikia ushirikina?
hongera kwa mafanikio
sifA KWA BWANA
Nipe ushahidi wa maadiko ndugu yangu acha utapeli.... waoneeni huruma watanzania maskini kwa kuwauzia vitu visivyo kuwa na maana yeyote kama anointing water kwa dola 50 na kuwadanganya kuwa hiyo ni damu ya Yesu.
"Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa ...."Hosea 4:6