TB Joshu atabiri tena

Uswe tumeona live n direct from Emmanuel TV
 
Last edited by a moderator:
ni uongo TB Joshua hajatabiri hizo mambo, ni hili kanusho kaliweka kwenye official site ya huduma yake

R u watching Emmanuel TV now, check bandiko langu kwenye Hoja Mchanganyiko nimeandika kwa kirefu!
 
TB joshua atabiri matokeo ya champion League, kuwa Chelsea inahitaji maombi zaidi kuliko Bayen, Ila kasema kuna mtu mrefu mwenye upara atafunga Goli la kichwa. Tusubiri tuone wale wanaoamini lakini, wapenzi wa chelsea ombeni sanaaaaaaaa, hata yeye ni mpenzi wa chelsea kumbe, ila ni kwa kipindi cha kwanza hicho, matokeo kamili jumapili ya next wiki.

Note Wapenzi wa Chelsea kasema Ombeni sana tena sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
maombi yetu tukayafanyie wapi? Knisani kwake au hata vyumbani mwetu?
 
Uswe, hujaona utabiri fake uliotolewa kwenye internent na wa leo ni tofauti?
 
Last edited by a moderator:
nasikitika utabiri wake utamtokea puani..... chelsea anapigwa bao mbili saafi...
 
kama hakuna nabii mwingine baada ya Yesu, Yohana wa kitabu cha ufunuo kitabu cha mwisho kabisa cha biblia ninani?
 
Nimemsikiliza jana akitabiri simba kushinda tano bila na kweli yanga kachapwa goli hizo
TB Joshua sio mchezo
OTIS
 
K-nya anye kuku,ak-nya bata mchafu!sasa huyu TB JOSHUA NA MAREHEMU SHEIKH YAHYA HUSSEIN WA tz kuna tofauti gani? mbona huyu watu wanamshabikia???
 
Sikweli kwamba 'katabiri tena' maana hakuwahi kulizungumzia hilo, ndo kwanza 4 the very first time amelizungumzia,so thread nayo inadanganya! Waukweli sana TB JOSHUA!
 
Back
Top Bottom