Tazameni uongo wa Mathematics

Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”
Mathematics haina uongo. Ni facts tupu. Labda hujui maana ya sifuri au zero. Maana yake hamna kitu. Hivyo, kwa habari ya kuku 8 ukizidisha kwa sifuri ni sawa na kusema ulikuwa na kuku 8 wakati unaenda kulala usiku. Asubuhi ukaamka ukakuta mafuriko yamepitia banda na kusomba kuku wote. Hivyo hujabakiwa na kitu. Sifuri ni hakuna kitu. Kuku Nane zidisha na hakuna kitu jibu ni hakuna kitu. Namba yoyote ukizidisha kwa sifuri jibu ni sifuri.
 
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”
sasa hapo wewe na mathematics nani muongo!? yaani wewe ndio liongo kuliko hata toto TUNDUπŸ˜‚
 
Ni sawa kwasababu 8 x 1 ni sawa na kusema nane nane ziwe moja ambapo unapata hiyo hiyo nane.

Na 8 x 0 ni sawa na kusema nane nane ziwe sifuri ambapo haupati nane kwasababu ziko sifuri.
Hii inaeleweka kirahisi sana
 
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”
Nane (8) ina masifuri mawili kwahiyo imejiunga imekuwa sifuri moja kubwaaaa ndo hiyo (0)
Kama hujaelewa na hapo sas πŸ™Œ
 
πŸ™πŸ™πŸ™
 
Maelezo mazuri ni kwamba hesabu za kuzidisha (multiplication) ni ufupisho wa kujumlisha. Mathalani 2 + 2 + 2 + 2 ni sawa sawa na 2 Γ— 4 ambayo ni 8. Namba 2 inajirudia kujumlishwa mara 4.

Wewe una kuku 0 halafu uwajumlishe mara 8 kuku ambao hawapo hutapata kitu chochote, ni 0, yaani 0 Γ— 8 = 0

Au una kuku 8 usiwape chochote mara 8 maana yake watapata 0, yaani 8 Γ— 0 = 0 Mwishowe watakufa na njaa kwa kutowapa chochora mara 8!
 
Nina kuku 8 afu nisiwazidishe, nitabaki na kuku wangu nane hao hao
 
Mleta mada kala kuku wake kwenye pasaka anakuja kutusumbua hapa.
 
Tazameni Uongo Wa Mathematics

Eti: 8 x 0 = 0

Niko Na Kuku Nane Mara Sifuri Jibu Ni Sifuri Kwahiyo Kuku Zangu Nane Zilienda Wapi....?πŸ€”
Wewe ndio hujaielewa lugha ya mathematics. Ipo hivi kuku 8x0=0 maana yake wazidishe/ waongeze kwa rududia mara hakuna[0] , Je ongezeko ni lipi? Ongezeko ni 0 manake kuku wapo wale wale 8 hawajaongezeka. Jibu ni 0;

Naijua hesabu nilip'ata A ya Math necta o level kipindi bila tuition. Form6 nikapata subsidiary kwa sababu siku ya mtihani wa Necta nilikuwa naumwa. Elimu ya kitanzania ukiugua kipindi cha mtihani ndio umepoteza maisha.
Not fair........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…