Hii documentary imejaa visa vya uongo ili kupata huruma. Kuna interview yake moja alielezea kuwa amezaliwa na kukulia Kigamboni na alikuwa anacheza sana mpira.
Acha unoko

hajuwe anachokiongea na ile ngoma ya Rudi hajaiona ..unajua unachokiongea Wew... zwazwa
Na toka atoke wasafi je????rich mavoko toka ajiunge wasafi amepotea kabisa