Miaka miwili ya Mbosso ndani ya WCB

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,577
18,901
Msanii mbosso Khan a.k.a Mr romantic au unaweza kumwita jina lingine muhindi wa kibiti amefurahia kufikisha miaka 2 tangu ajiunge na record label kubwa ya WCB na tangu hapo ameteka mioyo ya watanzania wengi kwa nyimbo zake zenye ufundi wa uandishi pamoja na sauti yake nzuri.

Wakati anasigniwa na WCB mashabiki wengi wa WCB walionesha kutomkubali kabisa walitegemea diamond atamsign aslay na si mbosso kwa kudai sio level ya WCB mpaka ikapelekea kumshambulia maneno makali diamond kwa kusema amemleta kimeo.Hii suala ilipelekea diamond atumie nguvu kubwa kuwaaminisha mashabiki mboso ni msanii mkali na anafit kwenye label yake.

Baada ya muda mfupi mbosso akaanza kutoa ngoma Kama nimeikubali,nimekuzoea za zenye ladha ya bongo fleva zinafanya vizuri but baadhi ya watu bado wakaonesha mboso afahi kuwa WCB lakini alivyotoa ngoma ya alele taratibu mashabiki wote wakaanza kumwelewa kuanzia hapo akateka mioyo ya watu na akaanza kutoa rasmi ngoma zenye ladha ya kihindi ndani yake na sasa amekuwa Moja ya msanii mkubwa nchini Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania

MAFANIKIO YAKE
1. kwa miaka Hiyo MIWILI ameweza kuwa nominees kwenye tuzo nne za nje ya nchi ikiwemo tuzo ya Afrima

2. Amefanya show si chini ya 70 ikiwemo show ya visiwa vya Mayotte wenye kuongea lugha ya ufaransa ambapo amekuwa msanii wa pili pekee ukimtoa Diamond kutoka Tanzania kufanya show hapo nakufanikiwa kujaza uwanja.

3. Nyimbo zake kuwa hit song kila aliyoreleese na pia kuwa na viewers wengi Kama hodari Ina viewers 22 million, Nadekezwa Ina viewers 16 million, Tamu Ina viewers 12 million,Nipepee Ina viewers 11 million na nyimbo zake zingine.

4. Moja ya msanii ngoma zake zinauza Sana kwenye platform tofauti ikiwemo spotfy ambapo ame kuwa stream 10.5 mil na kusikilizwa na nchi 50 tofauti tofauti.

NB: Mboso akupekewa vizuri kwa Mara ya kwanza Kama wasanii wengine wa WCB Rayvanny, Harmonize, Lavalava na Mavoko lakini akawa prove watu wrong namtakia kila la kheri kwenye career yake ya mziki.
 
Watakubali ni wimbo mmoja uliotulia sana... Ulimtambulisha kama solo artist na ndo ulomfanya aonekane si kitu mbele ya mashabiki wa WCB... Sababu kubwa na ya msingi ni kwamba "Hadhi ya Usafini haitaki Uchafu"... Ile idea ya video haikutakiwa iwe fungulia dimba, watu walitaka vitu visafi vya kung'aa km kwny "Ibaki story" ya Mavoko na "Bora tuachane" ya Lavalava na si hadhi ile...

Ukiangalia "Watakubali" na "Nimekuzoea" watu walikosoa sana si kwa vile hajui kuimba au mistari mibovu ila video ideas... Alivoanza kuachia "Picha yake" na "Alelee" zenye video za hadhi ya usafi watu ndo wakaanza kumuelewa... Ukisikiliza audio ya Nimekuzoea na Alelee, Nimekuzoea ina madini hatari mara 10 ya Alelee sema video ndo iliharibu

All in all nampongeza sana dogo, kipaji anacho... Kikubwa apige kazi sisi tumsapoti
 
Tukubali tukatae, mbosso hayupo ki international yeye anafit kwenye soko la local pekee na mwenzake lavalava. Inshort wasanii wa wcb waliokuwa kiinternational ni harmonize na rayvanny tu bas. So kama ni karata ya kimataifa basi lavalava na mbosso ni magarasa when it comes to business.
 
Harmonize nae amerud kuwa local artist.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo anapenda sana kula,kila nyimbo lazima ataje chakula Mara chapati za arizeti nk
Msanii mbosso Khan a.k.a Mr romantic au unaweza kumwita jina lingine muhindi wa kibiti amefurahia kufikisha miaka 2 tangu ajiunge na record label kubwa ya WCB na tangu hapo ameteka mioyo ya watanzania wengi kwa nyimbo zake zenye ufundi wa uandishi pamoja na sauti yake nzuri.

Wakati anasigniwa na WCB mashabiki wengi wa WCB walionesha kutomkubali kabisa walitegemea diamond atamsign aslay na si mbosso kwa kudai sio level ya WCB mpaka ikapelekea kumshambulia maneno makali diamond kwa kusema amemleta kimeo.Hii suala ilipelekea diamond atumie nguvu kubwa kuwaaminisha mashabiki mboso ni msanii mkali na anafit kwenye label yake.

Baada ya muda mfupi mbosso akaanza kutoa ngoma Kama nimeikubali,nimekuzoea za zenye ladha ya bongo fleva zinafanya vizuri but baadhi ya watu bado wakaonesha mboso afahi kuwa WCB lakini alivyotoa ngoma ya alele taratibu mashabiki wote wakaanza kumwelewa kuanzia hapo akateka mioyo ya watu na akaanza kutoa rasmi ngoma zenye ladha ya kihindi ndani yake na sasa amekuwa Moja ya msanii mkubwa nchini Tanzania na nje ya mipaka ya Tanzania

MAFANIKIO YAKE
1. kwa miaka Hiyo MIWILI ameweza kuwa nominees kwenye tuzo nne za nje ya nchi ikiwemo tuzo ya Afrima

2. Amefanya show si chini ya 70 ikiwemo show ya visiwa vya Mayotte wenye kuongea lugha ya ufaransa ambapo amekuwa msanii wa pili pekee ukimtoa Diamond kutoka Tanzania kufanya show hapo nakufanikiwa kujaza uwanja.

3. Nyimbo zake kuwa hit song kila aliyoreleese na pia kuwa na viewers wengi Kama hodari Ina viewers 22 million, Nadekezwa Ina viewers 16 million, Tamu Ina viewers 12 million,Nipepee Ina viewers 11 million na nyimbo zake zingine.

4. Moja ya msanii ngoma zake zinauza Sana kwenye platform tofauti ikiwemo spotfy ambapo ame kuwa stream 10.5 mil na kusikilizwa na nchi 50 tofauti tofauti.

NB: Mboso akupekewa vizuri kwa Mara ya kwanza Kama wasanii wengine wa WCB Rayvanny, Harmonize, Lavalava na Mavoko lakini akawa prove watu wrong namtakia kila la kheri kwenye career yake ya mziki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukubali tukatae, mbosso hayupo ki international yeye anafit kwenye soko la local pekee na mwenzake lavalava. Inshort wasanii wa wcb waliokuwa kiinternational ni harmonize na rayvanny tu bas. So kama ni karata ya kimataifa basi lavalava na mbosso ni magarasa when it comes to business.
Mbosso yupo kipwani pwani. Soko lake kimataifa ni visiwani na nchi za uarabuni. Sio msanii anayeweza kuvutia Marekani na Nchi nyingi za Magharibi.

Ni msanii wa kimataifa.
 
Back
Top Bottom