sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,679
- 9,839
View: https://www.instagram.com/reel/DNKynyksZuT/?igsh=MXZ2Ym0zcGh1MDNjdQ==
Kuna wakati nilieleza kuhusu Diamond Platnumz kuandika hitsong ya Pawa ambayo imeimbwa na Mbosso nilioga matusi hapa.
Sasa kuna receipt hapa imepostiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa media namba moja Tanzania.
Wasanii wasio na shukrani uwa hawasurvive muda mrefu kwenye game. Mbosso shukuru kwa mchango huu wa Diamond Platnumz.