Alikiba kumtaja Diamond Platnumz kwenye wimbo wake wa Mnyama

exalioth

JF-Expert Member
Jun 22, 2016
2,190
3,685
Katika wimbo wake wa (Mnyama) Alikiba ametumia mistari kazaa kumchana Diamond Platnumz

UCHAMBUZI WA MSITARI HUO

Unamjua simba mnyama? mnyama.

Sio yule wa insta mnyama... mnyama...

Huyo ni utopolo mnyama....mnyama...

Hapa ni wazi kamtaja diamond lakini kwa maoni yangu Alikiba hakukua na haja ya dongo hilo kwa msanii mwenzie kutokana na wimbo wenyewe unahusiana na nini

Wimbo ni mzuri lakini umeharibiwa na ka mstari hako tu


Yuda exalioth
jamiiforums
Geita Lulembela


Alikiba-Mnyama-Simba-SC-Anthem-art.jpg
 
Katika wimbo wake wa (Mnyama) Alikiba ametumia mistari kazaa kumchana Diamond Platnumz

UCHAMBUZI WA MSITARI HUO

unamjua simba mnyama? mnyama....

sio yule wa insta mnyama... mnyama...

huyo ni utopolo mnyama....mnyama...


Hapa ni wazi kamtaja diamond rakini kwa maoni yangu Alikiba hakukua na haja ya dongo hilo kwa msanii mwenzie kutokana na wimbo wenyewe unahusiana na nini

Wimbo ni mzuri rakini umeharibiwa na ka mstari hako tu


Yuda exalioth
jamiiforums
Geita Lulembela


View attachment 2707540
rakini=lakini mkuu sahihisha haraka kabla bibi FaizaFoxy hajakukuta
 
Mimi siyo mtaalamu wa nyimbo za mabifu.

Kwahiyo kwa maoni yangu ukinisoma vizuri utagundua kitu ya kwamba sijui cha kuandika kwakua tangu mwanzo nilishasema mimi siyo mtaalamu wa nyimbo za mabifu
 
Back
Top Bottom