Tazama CCM Wanavyoondoka Saa 4 Asubuhi Kwa 75%

Tazama CCM Wanavyoondoka Saa 4 Asubuhi Kwa 75%

Sisi wote tuliosoma Udom kura zetu kwa El

Weeeeeeee koma kabisa kuusemea moyo...mi nimesoma Udom na hata sasa niko Udom SITEGEMEI KUMPIGIA KURA EDO...

Acha kujipa cheo cha kuwasemea watu ambao hatujakutuma...

Nimesema:

Refa ni wa kwetu...
Uwanja ni wa kwetu...
Mpira ni wa kwetu...

Na sasa naongezea, washika vibendera ni wa kwetu...

Goli la kisigino mapema asubuhi....


Tafakari...
 
Cuf wana wabunge 2 wa majimbo na madiwani kibao,wenyeviti wa serikali za mitaa kibao

Wabunge 2 wa CUF na CCM wanao wangapi? alafu utuambie ni nhome ya nani huko kusini kweli we kiazi wabunge wawili ndio useme ngome ya CUF na Pemba watasemaje
 
Hivi kwa hesabu hii ambayo Ccm inawasababisha wakisikia ukawa wanachanganyikiwa watatokea wapi?
Tazama huu mgawanyo wa KURA uniambie kama watapona.
1.Kasikazini Ni ngome ya CDM + NCCR na Nguvu ya El Ccm chali
2.Kanda ya Ziwa ni Ngome ya CDM + CUF na nguvu ya EL Ccm kifo cha mende
3.Pwani na Kusini huko ni CUF + CDM na EL Ccm Chali
4.Yanda za juu Kusini Ni ngome za CDM + Cuf na EL Ccm mlalo wa chali
5.Asilimia 90 Ya kura za wamasai,Tanzania popote walipo kura ni za Ukawa throw EL
6.Upande wa Kigoma NCCR + EL + CuF na CDM Ccm lazima wafe,Na ndugu zao wa bendera nyingi.
Wale watu wanaozingatia mchanganyiko wa imani Ukawa ni kama kile chakula cha mseto.
Usisahau pia,Lowassa ni maarufu kila kijiji nchi hii.Magufuli watu wa vijijini hawamjui na hana umaarufu wowote.
Jamani kwa kamgawanyo hako hawa watu wa Lumumba hawajakusanya virago tu?
Ndio maana mnapoambiwa Saa 4 asubuhi mtakuwa mmeondoka lazima mkubali mtaondoka.

Ukweli mtupu
 
Weeeeeeee koma kabisa kuusemea moyo...mi nimesoma Udom na hata sasa niko Udom SITEGEMEI KUMPIGIA KURA EDO...

Acha kujipa cheo cha kuwasemea watu ambao hatujakutuma...

Nimesema:

Refa ni wa kwetu...
Uwanja ni wa kwetu...
Mpira ni wa kwetu...

Na sasa naongezea, washika vibendera ni wa kwetu...

Goli la kisigino mapema asubuhi....


Tafakari...

Wewe hujasoma udom
 
Wabunge 2 wa CUF na CCM wanao wangapi? alafu utuambie ni nhome ya nani huko kusini kweli we kiazi wabunge wawili ndio useme ngome ya CUF na Pemba watasemaje

Ninavyoongea hapa nipo kusini ccm haina chake huo ndio ukweli
 
Leo huoni ccm wakishirikiana na usalama wanavohaha waliataka kuwagawa cuf watoke kwenye ukawa wawatumie waislam na watu Wa kusini ili ukawa igawanyike lkn juhudi zilishindikana kwasababu iliakuwa hivi:

Walimfuata lipumba na kumshawishi na donge nono aitishe press pale buguruni akaalika na baadhi ya wanachama pale na viongozi waandamizi cuf bara kwamba wajitenge na maamuzi ya ukawa lkn abahati nzuri wapo watu Wa system wanareport kwa ukawa akawahiwa lipumba na waZee pamoja na mashekh akaambiwa kama anataka kujitoa aistumie ofisi atangaze binafsi na sio chama, na hata hivo akahatadharishwa kuwa wanachama hapa nje wana hasira watakudhuru all in all akakosa support ndio Siku ya pili akafanya press hotelini na lengo na dhamira haikutimiaa. Na hapo ndio ccm wamechanganyikiwa kwani watu Wa kuwagawa ni waislam pamoja na Wa kusini lkn wapi maana ukawa makanisani IPO na miskitini IPO na vibaya zaidi kuna watu ndani ya ccm ni ukawa hapo ndipo wanapoweweseka

Uko sawa kabsa ndugu yangu, Alafu kingne wanashndwa kuelewa kwamba Kiu ya Watanzania siku zote baada ya Mfumo wa vyama ving kuanza kikubwa tulikuwa tunataka iv vyama viungane na pasipo kuungana ingekuwa ngumu kidogo kuwatoa magama, sasa vimeungana kila mtu anaimba Mabadiliko, hii inaonyesha ccm tuliwachoka kitambo sana,tatizo likuwa ni Muungani wa vyama, sasa tupaza saut zetu kwa kusema Ccm BASI MUDA WAO UMEKWISHA NA WATUPISHE KWA AMANI
 
Inaonekana siasa huzijui,cuf kusini ndio kwao na siyo kwamba ina mbunge mmoja,kama hujui kitu siyo lazima uchangie

Mkoa wa ruvuma cuf ina wabunge wangapi ukilinganisha na ccm profesa wa siasa?Mtwara je?Lindi kila mtu anajua mbunge mmoja aliepata kura za huruma.
 
Wewe hujasoma udom

Muda huu niko social block 6 nakamilisha dissertation yangu... au kuna Udom nyingine iliyomuweka huyo kuwa msemaji wake...!!!?
Niliyopo mimi kila mtu ana uhuru wa kumpigia mgombea anayeona anafaa...Hatuna azimio la pamoja...


Tafakari...
 
Hamasisha watu wapige kura.
Kila mtu aende na watu 10 siku ya kupiga kura.
 
Back
Top Bottom