khalid juma
New Member
- Jul 11, 2015
- 2
- 0
nimekubali
bwenga?!!!kamuulize ben saanane na mchambuzi walivopata kura 6 ,ila jf walikua kama michael jackson anavopendwa.
Natabiri JF Itasitishwa kwa Muda kuelekea October 25!!! CCM hawana pakutokea, this time tunawanyoa kipara kwa bati lenye kutu bila kutia maji nywele....mmetutesa vya kutosha..
Mkuu mwizi kumuibia mwizi mwenzake ni shughuli.October 25 is a new experience kwa nchi hii let's wait and see
photo of the year 2015
mkuu naona hili jibu linakufaa, nimemjibu mh. mmoja humu
''sikatai hilo na wala simtetei yeyote aliyelitia taifa hili hasara akiwemo Kikwete kutumia kodi zetu kwa ajili ya katiba then kuifanyia vitimbi mwishoni kabisa. ila huyo jamaa yako mtu wa ovyo sana, hebu jiulize katika hali ya kawaida mtu unapata wapi courageous ya kuleta uzi humu kumtetea mtu aliyelitia hasara taifa hili mabilioni ya shilingi?
Note; nikiri kabisa ccm siwaamini hata kidogo. nina wasiwasi kabisa hata zile bilioni za masamaki huenda ccm walizivuna kuzielekeza kwenye kampeni. ccm sio wakuwaamini hata kidogo. huenda huko kushindwa kesi ilikuwa justification tu ya kuziiba pesa zile. hivi wewe hujiulizi ya kagoda kwenye epa? kampuni iliyofunguliwa hapa tanzania lakini mpaka leo hii mmiliki wake hafahamiki na hajakamatwa. Na ndo iliyokwapua pesa nyingi zaidi za epa yasemakana bil 40 katika zile bil 100 na kitu za epa.''
Hivi kwa hesabu hii ambayo Ccm inawasababisha wakisikia ukawa wanachanganyikiwa watatokea wapi?
Tazama huu mgawanyo wa KURA uniambie kama watapona.
1.Kasikazini Ni ngome ya CDM + NCCR na Nguvu ya El Ccm chali
2.Kanda ya Ziwa ni Ngome ya CDM + CUF na nguvu ya EL Ccm kifo cha mende
3.Pwani na Kusini huko ni CUF + CDM na EL Ccm Chali
4.Yanda za juu Kusini Ni ngome za CDM + Cuf na EL Ccm mlalo wa chali
5.Asilimia 90 Ya kura za wamasai,Tanzania popote walipo kura ni za Ukawa throw EL
6.Upande wa Kigoma NCCR + EL + CuF na CDM Ccm lazima wafe,Na ndugu zao wa bendera nyingi.
Wale watu wanaozingatia mchanganyiko wa imani Ukawa ni kama kile chakula cha mseto.
Usisahau pia,Lowassa ni maarufu kila kijiji nchi hii.Magufuli watu wa vijijini hawamjui na hana umaarufu wowote.
Jamani kwa kamgawanyo hako hawa watu wa Lumumba hawajakusanya virago tu?
Ndio maana mnapoambiwa Saa 4 asubuhi mtakuwa mmeondoka lazima mkubali mtaondoka.
Dr.bana alisema kimahesabu ukawa wanashinda wasipoparaganyika.Mkuu mwizi kumuibia mwizi mwenzake ni shughuli.October 25 is a new experience kwa nchi hii let's wait and see
Ivi Tengeru nayo nchi au sijaelewa ukawa urais wa wapi?
btn ur legs
Mawazo finyu hayo, na hesabu za ugali wa kiporo