umenifurahisha sana
Sisi tunaokunywa maji ya ziwa victoria shinyanga,na geita kura zetu kwa el
umenifurahisha sana
nimekudharau sana baada ya kupost ule utumbo wako wa kumtetea mramba ambaye amelitia taifa hili hasara ya bil 11.7 wewe ni mpuuzi tu, period.
Leo huoni ccm wakishirikiana na usalama wanavohaha waliataka kuwagawa cuf watoke kwenye ukawa wawatumie waislam na watu Wa kusini ili ukawa igawanyike lkn juhudi zilishindikana kwasababu iliakuwa hivi:
Walimfuata lipumba na kumshawishi na donge nono aitishe press pale buguruni akaalika na baadhi ya wanachama pale na viongozi waandamizi cuf bara kwamba wajitenge na maamuzi ya ukawa lkn abahati nzuri wapo watu Wa system wanareport kwa ukawa akawahiwa lipumba na waZee pamoja na mashekh akaambiwa kama anataka kujitoa aistumie ofisi atangaze binafsi na sio chama, na hata hivo akahatadharishwa kuwa wanachama hapa nje wana hasira watakudhuru all in all akakosa support ndio Siku ya pili akafanya press hotelini na lengo na dhamira haikutimiaa. Na hapo ndio ccm wamechanganyikiwa kwani watu Wa kuwagawa ni waislam pamoja na Wa kusini lkn wapi maana ukawa makanisani IPO na miskitini IPO na vibaya zaidi kuna watu ndani ya ccm ni ukawa hapo ndipo wanapoweweseka
hiyo ni ndoto ya jinamizi unatembea usingizini bila shaka utaanguka dirisha la ghorofa kama charmilion hotelini arusha.Hivi kwa hesabu hii ambayo Ccm inawasababisha wakisikia ukawa wanachanganyikiwa watatokea wapi?
Tazama huu mgawanyo wa KURA uniambie kama watapona.
1.Kasikazini Ni ngome ya CDM + NCCR na Nguvu ya El Ccm chali
2.Kanda ya Ziwa ni Ngome ya CDM + CUF na nguvu ya EL Ccm kifo cha mende
3.Pwani na Kusini huko ni CUF + CDM na EL Ccm Chali
4.Yanda za juu Kusini Ni ngome za CDM + Cuf na EL Ccm mlalo wa chali
5.Asilimia 90 Ya kura za wamasai,Tanzania popote walipo kura ni za Ukawa throw EL
6.Upande wa Kigoma NCCR + EL + CuF na CDM Ccm lazima wafe,Na ndugu zao wa bendera nyingi.
Wale watu wanaozingatia mchanganyiko wa imani Ukawa ni kama kile chakula cha mseto.
Jamani kwa kamgawanyo hako hawa watu wa Lumumba hawajakusanya virago tu?
Ndio maana mnapoambiwa Saa 4 asubuhi mtakuwa mmeondoka lazima mkubali mtaondoka.
CCM tafadhari tafadhari nawaomba mjiandae kisaikolojia mapema Mtifuletee vulugu hata kidogo
Uloi nga mâché68;13562488 said:Nawaonea huruma sana UKAWA Kwa kuota Ndoto za alinacha Hali wakijua kwamba CCM inashikilia 80% ya Vijiji, 79% ya VItongoji na 67% ya Mitaa yote Tanzania Bara.
Tutahakikisha Magufuli haonekani kabisa hapa JF,threads zake utazikuta page ya 8 Jukwa la Siasa
Unaposema kura zote za wa Masai unataka pia tuamini kuwa kura zote za Wasukuma ni za Magufuli popote walipo Tanzania???? Tulia watu wapige kura usiwaamushe walio lala!!!!
Kwi kwi kwiUtaelewa tu
Umekua biased mnoo.tangu lini kusini ikawa ngome ya cuf?!mbunge mmoja tu lindi ndio imekua ngome??
CCM tunawapigaaaa mbwa style saa 4 asubuhiiiii....
Mbwa style lazima CCM wakae...!!!
Naona UKAWA watashinda kwa zaidi ya 85% kama hali ikiwa hivi.. .Maana Lowassa + Ukawa....ni nguvu kuu ya Kimungu....!!
Kwi kwi kwi
Inaonekana siasa huzijui,cuf kusini ndio kwao na siyo kwamba ina mbunge mmoja,kama hujui kitu siyo lazima uchangie
Sisi tunaokunywa maji ya ziwa victoria shinyanga,na geita kura zetu kwa el