Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Hivi kwa hesabu hii ambayo Ccm inawasababisha wakisikia ukawa wanachanganyikiwa watatokea wapi?
Tazama huu mgawanyo wa KURA uniambie kama watapona.
1.Kasikazini Ni ngome ya CHADEMA + NCCR na Nguvu ya Lowassa CCM chali
2.Kanda ya Ziwa ni Ngome ya CHADEMA + CUF na nguvu ya Lowassa CCM kifo cha mende
3.Pwani na Kusini huko ni CUF + CHADEMA na Lowassa CCM Chali
4.Yanda za juu Kusini Ni ngome za CHADEMA + Cuf na Lowassa CCM mlalo wa chali
5.Asilimia 90 Ya kura za wamasai,Tanzania popote walipo kura ni za Ukawa throw Lowassa
6.Upande wa Kigoma NCCR + Lowassa + CuF na CHADEMA CCM lazima wafe,Na ndugu zao wa bendera nyingi.
Wale watu wanaozingatia mchanganyiko wa imani Ukawa ni kama kile chakula cha mseto.
Usisahau pia,Lowassa ni maarufu kila kijiji nchi hii.Magufuli watu wa vijijini hawamjui na hana umaarufu wowote.
Jamani kwa kamgawanyo hako hawa watu wa Lumumba hawajakusanya virago tu?
Ndio maana mnapoambiwa Saa 4 asubuhi mtakuwa mmeondoka lazima mkubali mtaondoka.