Abou Saydou
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 2,948
- 2,112
Umekua biased mnoo.tangu lini kusini ikawa ngome ya cuf?!mbunge mmoja tu lindi ndio imekua ngome??
Una uhakika na ulichoandika?

Hivi kwa hesabu hii ambayo Ccm inawasababisha wakisikia ukawa wanachanganyikiwa watatokea wapi?
Tazama huu mgawanyo wa KURA uniambie kama watapona.
1.Kasikazini Ni ngome ya CDM + NCCR na Nguvu ya El Ccm chali
2.Kanda ya Ziwa ni Ngome ya CDM + CUF na nguvu ya EL Ccm kifo cha mende
3.Pwani na Kusini huko ni CUF + CDM na EL Ccm Chali
4.Yanda za juu Kusini Ni ngome za CDM + Cuf na EL Ccm mlalo wa chali
5.Asilimia 90 Ya kura za wamasai,Tanzania popote walipo kura ni za Ukawa throw EL
6.Upande wa Kigoma NCCR + EL + CuF na CDM Ccm lazima wafe,Na ndugu zao wa bendera nyingi.
Wale watu wanaozingatia mchanganyiko wa imani Ukawa ni kama kile chakula cha mseto.
Jamani kwa kamgawanyo hako hawa watu wa Lumumba hawajakusanya virago tu?
Ndio maana mnapoambiwa Saa 4 asubuhi mtakuwa mmeondoka lazima mkubali mtaondoka.
Mawazo finyu hayo, na hesabu za ugali wa kiporo

Kura haziwagi hivo ni mtu mmojammoja
Una uhakika na ulichoandika?
Kidumu cha mapinduzi kimetoboka
Tutahakikisha Magufuli haonekani kabisa hapa JF,threads zake utazikuta page ya 8 Jukwa la Siasa
Ivi Tengeru nayo nchi au sijaelewa ukawa urais wa wapi?
Yaani wasomi wangekuwa wanafanya hesabu kama zako basi dunia Hii tungekuwa karne ya 2 Maana ni uharo mtupuHivi kwa hesabu hii ambayo Ccm inawasababisha wakisikia ukawa wanachanganyikiwa watatokea wapi?
Tazama huu mgawanyo wa KURA uniambie kama watapona.
1.Kasikazini Ni ngome ya CDM + NCCR na Nguvu ya El Ccm chali
2.Kanda ya Ziwa ni Ngome ya CDM + CUF na nguvu ya EL Ccm kifo cha mende
3.Pwani na Kusini huko ni CUF + CDM na EL Ccm Chali
4.Yanda za juu Kusini Ni ngome za CDM + Cuf na EL Ccm mlalo wa chali
5.Asilimia 90 Ya kura za wamasai,Tanzania popote walipo kura ni za Ukawa throw EL
6.Upande wa Kigoma NCCR + EL + CuF na CDM Ccm lazima wafe,Na ndugu zao wa bendera nyingi.
Wale watu wanaozingatia mchanganyiko wa imani Ukawa ni kama kile chakula cha mseto.
Jamani kwa kamgawanyo hako hawa watu wa Lumumba hawajakusanya virago tu?
Ndio maana mnapoambiwa Saa 4 asubuhi mtakuwa mmeondoka lazima mkubali mtaondoka.
Mkuu mwizi kumuibia mwizi mwenzake ni shughuli.October 25 is a new experience kwa nchi hii let's wait and see
Uloi nga mâché68;13562488 said:Nawaonea huruma sana UKAWA Kwa kuota Ndoto za alinacha Hali wakijua kwamba CCM inashikilia 80% ya Vijiji, 79% ya VItongoji na 67% ya Mitaa yote Tanzania Bara.
wamemnunua lipumba kumbe ukawa ni watz wote.imekulaje kwa magamba
Hakuna ubishi, najazia walio soma shule za kata zote ni kwa el 85%.
Refa ni wa kwetu
Uwanja ni kwetu
Mpira ni wa kwetu...
Tutawafunga mapema na goli la mkono...
Tafakari...
Kwa hesabu hio na watu wakajitokeza kwa wingi kupiga kura, saa nne asubuhi tu, tunakunywa chai na kelolo kushangilia ushindi.
mmepigwa tano bila moja tena la mkono litasaidia nn? au litasaidia msishuke daraja na nyumba ndogo yenu act