Tazama CCM Wanavyoondoka Saa 4 Asubuhi Kwa 75%

Tazama CCM Wanavyoondoka Saa 4 Asubuhi Kwa 75%

Endelea kuota ndoto ya mchana, wewe unafikiri uchaguzi ni dansi ya mduara.
 
Ingekuwa jf inachaguwa rais leo hii tungekuwa tunajiandaa kumuaga Mh.rais Dr.Willbroad Slaa
 
Mkoa wa ruvuma cuf ina wabunge wangapi ukilinganisha na ccm profesa wa siasa?Mtwara je?Lindi kila mtu anajua mbunge mmoja aliepata kura za huruma.

Wewe habari za siasa huzijui nenda kakamate senene ndio utakacho kiweza kwani siasa zina wenyewe
 
Weeeeeeee koma kabisa kuusemea moyo...mi nimesoma Udom na hata sasa niko Udom SITEGEMEI KUMPIGIA KURA EDO...

Acha kujipa cheo cha kuwasemea watu ambao hatujakutuma...

Nimesema:

Refa ni wa kwetu...
Uwanja ni wa kwetu...
Mpira ni wa kwetu...

Na sasa naongezea, washika vibendera ni wa kwetu...

Goli la kisigino mapema asubuhi....


Tafakari...
Hata chama tawala Nigeria kilijiamini sana ka nyie mnaojidai kuwa MNA dola hivi mnafikiri kitengo ndo kita wa save this time andikeni maumivu hamna mbeleko mtanyooka tu bila kupenda enzi za kuiba kura kwenu kwishney
 
Mkuu unajua Pombe imetutia hasara ya sh. Ngapi na misamaki ya wachina???!

sikatai hilo na wala simtetei yeyote aliyelitia taifa hili hasara akiwemo Kikwete kutumia kodi zetu kwa ajili ya katiba then kuifanyia vitimbi mwishoni kabisa. ila huyo jamaa yako mtu wa ovyo sana, hebu jiulize katika hali ya kawaida mtu unapata wapi courageous ya kuleta uzi humu kumtetea mtu aliyelitia hasara taifa hili mabilioni ya shilingi?

Note; nikiri kabisa ccm siwaamini hata kidogo. nina wasiwasi kabisa hata zile bilioni za masamaki huenda ccm walizivuna kuzielekeza kwenye kampeni. ccm sio wakuwaamini hata kidogo. huenda huko kushindwa kesi ilikuwa justification tu ya kuziiba pesa zile. hivi wewe hujiulizi ya kagoda kwenye epa? kampuni iliyofunguliwa hapa tanzania lakini mpaka leo hii mmiliki wake hafahamiki na hajakamatwa. Na ndo iliyokwapua pesa nyingi zaidi za epa yasemakana bil 40 katika zile bil 100 na kitu za epa.
 
Tutahakikisha Magufuli haonekani kabisa hapa JF,threads zake utazikuta page ya 8 Jukwa la Siasa
Aisee ni shida kila nikikuta uzi wa EL lazima nichangie lazima wkae hao magamba .
Wenyew wanajua wna hali mbaya bt wanajipa matumain subir kesho kwenye kuchukua fomu hyo mafuriko wajena beseni kam watwez kuzuia
 
Escrow 320B,EPA 120B na hakuna aliyefungwa kutakuwa na sababu nyingine
mkuu naona hili jibu linakufaa, nimemjibu mh. mmoja humu


''sikatai hilo na wala simtetei yeyote aliyelitia taifa hili hasara akiwemo Kikwete kutumia kodi zetu kwa ajili ya katiba then kuifanyia vitimbi mwishoni kabisa. ila huyo jamaa yako mtu wa ovyo sana, hebu jiulize katika hali ya kawaida mtu unapata wapi courageous ya kuleta uzi humu kumtetea mtu aliyelitia hasara taifa hili mabilioni ya shilingi?

Note; nikiri kabisa ccm siwaamini hata kidogo. nina wasiwasi kabisa hata zile bilioni za masamaki huenda ccm walizivuna kuzielekeza kwenye kampeni. ccm sio wakuwaamini hata kidogo. huenda huko kushindwa kesi ilikuwa justification tu ya kuziiba pesa zile. hivi wewe hujiulizi ya kagoda kwenye epa? kampuni iliyofunguliwa hapa tanzania lakini mpaka leo hii mmiliki wake hafahamiki na hajakamatwa. Na ndo iliyokwapua pesa nyingi zaidi za epa yasemakana bil 40 katika zile bil 100 na kitu za epa.''
 
Mpaka LOWASSA alipoamua kujiunga na UKAWA. utafiti ulishaonyesha 100% Kuwa anakwenda kushika hatamu, ndio maana CCM inahaha kuwanunua akina LIPUMBA, hata wakinunuliwa wote, nina uhakika watanzania wataendelea kuonyesha sapoti kubwa kwa LOWASSA na UKAWA, mwaka huu hakuna rangi wataacha kuona! WATAJUTA KUMKATA!!!!!!!!
 
mimi huku naongoza kikosi cha wainjilishaji wapatao 100 kuhakikisha ujumbe wa safari ya mabadiliko nje ya ccm inamfikia kila mtu ili taree 25 asipoteze kura yake kwa ccm,
 
Mpaka LOWASSA alipoamua kujiunga na UKAWA. utafiti ulishaonyesha 100% Kuwa anakwenda kushika hatamu, ndio maana CCM inahaha kuwanunua akina LIPUMBA, hata wakinunuliwa wote, nina uhakika watanzania wataendelea kuonyesha sapoti kubwa kwa LOWASSA na UKAWA, mwaka huu hakuna rangi wataacha kuona! WATAJUTA KUMKATA!!!!!!!!

Hahaha..Mkuu siku hizi naielewa sana michango yako
Au sijuwi ni kwa sababu umetubu
Maana unaweka nondo juu ya nondo
Safi sana!
 
Natabiri JF Itasitishwa kwa Muda kuelekea October 25!!! CCM hawana pakutokea, this time tunawanyoa kipara kwa bati lenye kutu bila kutia maji nywele....mmetutesa vya kutosha..
 
Kwa jinsi nilivyochafukwa, kuliko niamke mapema octoba 25 niende kuipigia kura CCM, bora niendelee kulala tu na mama yenu tupeane matunda.
 
Refa ni wa kwetu
Uwanja ni kwetu
Mpira ni wa kwetu...

Tutawafunga mapema na goli la mkono...


Tafakari...

...na bado ushindi ni wetu. umesahau 90% ya wachezaji wenu wapo nasi kisikolojia ingawa wamevaa jezi zenu. wataachia magoli na mgombea wenu atabaki na mwenyekiti tu. timu yenu kocha na benchi la ufundi in letu....
 
Natabiri JF Itasitishwa kwa Muda kuelekea October 25!!! CCM hawana pakutokea, this time tunawanyoa kipara kwa bati lenye kutu bila kutia maji nywele....mmetutesa vya kutosha..
Kamuulize ben saanane na mchambuzi walivopata kura 6 ,ila JF walikua kama michael Jackson anavopendwa.
 
1439057803490.jpg
 
Kwa jinsi nilivyochafukwa, kuliko niamke mapema octoba 25 niende kuipigia kura CCM, bora niendelee kulala tu na mama yenu tupeane matunda.

Ccm ni Lucifa mkuu,Ni kitu cha kukaa nacho mbali sana
 
Back
Top Bottom