MKONGA
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 667
- 458
hamna anaysis yoyote uliyofanya zaidi ya kujifurahisha tu
Ww unafikiri ni tafiti za dokta Bana hizo na reset yake , hizo tafiti halisi.
hamna anaysis yoyote uliyofanya zaidi ya kujifurahisha tu
Refa ni wa kwetu
Uwanja ni kwetu
Mpira ni wa kwetu...
Tutawafunga mapema na goli la mkono...
Tafakari...
shemeji akisaidiwa na vibendera niliowateua kwa mkono wanguhaaa baba mkwe si ndio refa au?
Refa ni wa kwetu
Uwanja ni kwetu
Mpira ni wa kwetu...
Tutawafunga mapema na goli la mkono...
Tafakari...
Refa ni wa kwetu
Uwanja ni kwetu
Mpira ni wa kwetu...
Tutawafunga mapema na goli la mkono...
Tafakari...
Hivi kwa hesabu hii ambayo Ccm inawasababisha wakisikia ukawa wanachanganyikiwa watatokea wapi?
Tazama huu mgawanyo wa KURA uniambie kama watapona.
1.Kasikazini Ni ngome ya CDM + NCCR na Nguvu ya El Ccm chali
2.Kanda ya Ziwa ni Ngome ya CDM + CUF na nguvu ya EL Ccm kifo cha mende
3.Pwani na Kusini huko ni CUF + CDM na EL Ccm Chali
4.Yanda za juu Kusini Ni ngome za CDM + Cuf na EL Ccm mlalo wa chali
5.Asilimia 90 Ya kura za wamasai,Tanzania popote walipo kura ni za Ukawa throw EL
6.Upande wa Kigoma NCCR + EL + CuF na CDM Ccm lazima wafe,Na ndugu zao wa bendera nyingi.
Wale watu wanaozingatia mchanganyiko wa imani Ukawa ni kama kile chakula cha mseto.
Jamani kwa kamgawanyo hako hawa watu wa Lumumba hawajakusanya virago tu?
Ndio maana mnapoambiwa Saa 4 asubuhi mtakuwa mmeondoka lazima mkubali mtaondoka.
Escrow 320B,EPA 120B na hakuna aliyefungwa kutakuwa na sababu nyinginenimekudharau sana baada ya kupost ule utumbo wako wa kumtetea mramba ambaye amelitia taifa hili hasara ya bil 11.7 wewe ni mpuuzi tu, period.
Hivi kwa hesabu hii ambayo Ccm inawasababisha wakisikia ukawa wanachanganyikiwa watatokea wapi?
Tazama huu mgawanyo wa KURA uniambie kama watapona.
1.Kasikazini Ni ngome ya CDM + NCCR na Nguvu ya El Ccm chali
2.Kanda ya Ziwa ni Ngome ya CDM + CUF na nguvu ya EL Ccm kifo cha mende
3.Pwani na Kusini huko ni CUF + CDM na EL Ccm Chali
4.Yanda za juu Kusini Ni ngome za CDM + Cuf na EL Ccm mlalo wa chali
5.Asilimia 90 Ya kura za wamasai,Tanzania popote walipo kura ni za Ukawa throw EL
6.Upande wa Kigoma NCCR + EL + CuF na CDM Ccm lazima wafe,Na ndugu zao wa bendera nyingi.
Wale watu wanaozingatia mchanganyiko wa imani Ukawa ni kama kile chakula cha mseto.
Jamani kwa kamgawanyo hako hawa watu wa Lumumba hawajakusanya virago tu?
Ndio maana mnapoambiwa Saa 4 asubuhi mtakuwa mmeondoka lazima mkubali mtaondoka.
Refa ni wa kwetu
Uwanja ni kwetu
Mpira ni wa kwetu...
Tutawafunga mapema na goli la mkono...
Tafakari...
Hakuna ubishi, najazia walio soma shule za kata zote ni kwa el 85%.