Tazama CCM Wanavyoondoka Saa 4 Asubuhi Kwa 75%

Tazama CCM Wanavyoondoka Saa 4 Asubuhi Kwa 75%

umeongea pumba zako nenda kule mnajipa matumaini nyie makapi
 
Kwa hesabu hio na watu wakajitokeza kwa wingi kupiga kura, saa nne asubuhi tu, tunakunywa chai na kelolo kushangilia ushindi.

Hivi jamaa hawajajiuliza ni kwanini mwaka huu wananchi wamejiandikisha saana kuliko mahala awamu zote.?
 
CCM yamejiloga na kulogeka yenyewe mwaka huu wanafungasha,KURA tutazipiga kwa KUMAANISHA wakianza kuhesabu ni
-LOWASSA
-LOWASSA
-LOWASSA
-LOWASSA
-LOWASSA
-LOWASSA
-LOWASSA
-LOWASSA
-LOWASSA
-LOWASSA
-LOWASSA
-LOWASSA
Kisha baada ya hapo kanatokezea kakura kamoja chenye tiki ya
POMBE MAGUFULI
Tunamshukuru sana BABA RIZ ameturahisishia kazi maana POMBE NI MWEPESI SANA MBELE YA CHADEMA UKAWA LOWASSA.

Huu ni mwaka wa shangwe kwa Wananchi LAZIMA CCM ING'OOOKE OCTOBA 25.
Tena kakura kenyewe katakuwa kabahati mbaya kwa kuwa katatoka vilabuni kwa waliolewa chakali.
 
Ni hivi majuzi tu wachambuzi wa mambo ya siasa wametamuka waziwazi kuwa" kumuweka lowasa kuwa mgombea wa urais kupitia ukawa ni sawa na kuinua wagombea wawili ndani ya chama kimoja(CCM)"

Je usemi una maana kuwa lowasa ana asilimia zote za ushindi au ni propaganda????
Na je ingawa anawapambe wengi mno ni ishara kuwa anakubalika au njaa ndiyo kisababishi cha watu wengi kumfuata?????
 
Sasa kama CCM imeweka wagombea wawili kwenye nafasi ya Uraisi basi itoshe kusema kuwa CCM ilisimisha wagombea wawili wa ubunge mwaka 1995 kule Karatu na mgombea wa CCM, Bw. WILBROAD Slaa alishinda, vivyo hivyo mwaka 1995 CCM ilisimamisha wagombea zaidi 8 waliotoka chama Tawala ,Je wote hao walikuwa ni wagombea wa CCM? katika upinzani wagombea wote kwa mara zote walitokana na CCM je? Ina maana wote walikuwa wagombea wa CCM akiwemo Lipumba? Ikiwa Lowassa ni mgombea wa CCM mbona hashabikiwi na vyombo vya habari vya CCM ? Kama wote ni wa CCM iweje wapingane?
 
Ni hivi majuzi tu wachambuzi wa mambo ya siasa wametamuka waziwazi kuwa" kumuweka lowasa kuwa mgombea wa urais kupitia ukawa ni sawa na kuinua wagombea wawili ndani ya chama kimoja(CCM)"

Je usemi una maana kuwa lowasa ana asilimia zote za ushindi au ni propaganda????
Na je ingawa anawapambe wengi mno ni ishara kuwa anakubalika au njaa ndiyo kisababishi cha watu wengi kumfuata?????

Aisee ni kweli ila kura za wanaccm zote kwa lowassa sasa jamani wanaccm lowassa ni mgombea wenu mpeni kura zenu na ukawa lowassa mgombea wenu mpeni kura zenu pia huyu ndio mgombea pekee wa kupata kura zote mwaka huu mapema saa nne tunamtangaza rais mh EL.
 
Hivi kwa hesabu hii ambayo Ccm inawasababisha wakisikia ukawa wanachanganyikiwa watatokea wapi?
Tazama huu mgawanyo wa KURA uniambie kama watapona.

1.Kasikazini Ni ngome ya CHADEMA + NCCR na Nguvu ya Lowassa CCM chali

2.Kanda ya Ziwa ni Ngome ya CHADEMA + CUF na nguvu ya Lowassa CCM kifo cha mende

3.Pwani na Kusini huko ni CUF + CHADEMA na Lowassa CCM Chali

4.Yanda za juu Kusini Ni ngome za CHADEMA + Cuf na Lowassa CCM mlalo wa chali

5.Asilimia 90 Ya kura za wamasai,Tanzania popote walipo kura ni za Ukawa throw Lowassa

6.Upande wa Kigoma NCCR + Lowassa + CuF na CHADEMA CCM lazima wafe,Na ndugu zao wa bendera nyingi.
Wale watu wanaozingatia mchanganyiko wa imani Ukawa ni kama kile chakula cha mseto.

Usisahau pia,Lowassa ni maarufu kila kijiji nchi hii.Magufuli watu wa vijijini hawamjui na hana umaarufu wowote.

Jamani kwa kamgawanyo hako hawa watu wa Lumumba hawajakusanya virago tu?

Ndio maana mnapoambiwa Saa 4 asubuhi mtakuwa mmeondoka lazima mkubali mtaondoka.
Sijui umekula maharage ya wapi wewe? sikuheshimu tena, nenda mchawi wewe. Utafitu umeufanyia uvunguni mwa kitanda chako. acha kukurupuka.
 
ccm hatutegemei kura za watanzania kuingia ikulu. ndo maana tunasema ushindi ni lazima.
 
The following conditions will have to be fuifilled if UKAWA has to win:

1. Many people who have registered to vote cast their votes.

2. Ukawa will have to ensure that there will be no vote rigging.

Once these two conditions are met, obviously ccm will be condemned to history!!
 
Back
Top Bottom