Taz

Taz

Taz

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2012
Posts
304
Reaction score
158
Wakuu nimejiunga leo hii, naomba kupokelewa, kukosolewa, kufunzwa
na kupewa fursa ya kukosoa na kufunza pia. asanteni
 
Mwenzako nilimpangia idara ya usafi sasa wewe yako hii; MWIKO,SUFURIA nakukabidhi we s mgen tena! Nikukute jikon biashara ya kuanza kuzunguka zunguka na kushanga majengo acha kabisa. Karibu
 
  • Thanks
Reactions: Taz
Back
Top Bottom