Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,274
Hahaha hivi unajua maendeleo ya nchi yanakuja kwa uhuru unautaka we we Mbingu. ..uliza historia za nchi zikizofanya mapinduzi ya kiuchumi zilifanyaje. ...ukishasoma njoo Sasa kwa hoja. ..umesahau mababu zetu walifanywa watumwa kwa kazi zipi. .waliteswa walibebeshwa mizigo walishinda njaa mvua jua zilikuwa zinaishia vichwani mwao. .yote nikwa sababu walikuwa wanajenga chumi zao hao mabwana zenu. Utasahauje historia au nawewe unakaririshwa...uliza chumi za Marekani Uingereza Urusi German China na nyinginezo nyingi...nenda kasome sasak