Tawi la chadema london ni la wauza unga ?

Sasa mnategemea mtu kama Lema akafanyie mkutano wapi London? zaidi ya Bar!

Mbegu...
 
hhahaahah..kweli chadema wamechacha na wamechachaaaa maaaaa
pole sana makamanda mliochacha
tunawahitaji muwe frontline na gwanda zenu hizohizo za WAASI kuivamia malawi
coz ukamanda si kutukana majukwaan,kukusanya sadaka mikutanoni
na kutukana vyombo vya dola vinavyowalinda
haahhahaah...natania tu jamani maana mtakavyoanza matusi nyie kama kijiwe ch wahuni kumbe wana CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO(CHADEMA)
 
We unaishi wapi? kwa London hawa watu wanaeleweka na hakuna mtanzania makini atakae associate na hawa watu kwa sababu ya sifa zao, Lema alitakiwa kufanya uchunguzi kabla ya kuvamia na kujisalimisha kwa hawa jamaa, as result hakuna wanachama waliojiandikisha zaid ya wenyewe

Simply hawa jamaa wanajulikana uliza wenyeji watakuambia.

Kikosi cha kupambana na madawa ya kulevya nchini uingereza ama jijini London hakiongozwi na godfrey nzowa anayekubali kupokea fedha toka kwa wafanyabiashara mafisadi ili ambambikie mtoto wa mengi madawa ya kulevya. Kwahiyo hayo yako ni maneno ya mkosaji tu.

Kama hao wanachama wa Chadema London ni drug dealers kwanini msiwaripoti kunako vyombo husika? au kwanini vyombo vya dola vya London havijawakamata na kuwafikisha katika mkondo wa sheria?

Haya makelele mnayopiga hapa tangu tawi hilo lizinduliwe ni dalili za ushindi kwa Chadema na dalili za anguko la ccm na waganga njaa wake wote mlioko london.
 
teh teh teh...siasa za maji taka ndio muhimili wa siasa za bongo these days
 
Baada ya Ndugu Godbless Lema kukosa msaada ya pesa toka kwa Meya Boris Johson wa London, aliamua kuomba misaada makanisani kwa ajili ya Chadema, J’pili ijayo, Mr. Lema anategemea kufanya harambee ya michango ya chama katika kanisa la Kiswahili pale Westminster.

Kama kawaida ya Lema na chadema, walikurupuka na kuamua kuanzisha tawi la chadema mjini London kwenye baa ya wakenya, ni baa hii ambayo Muheshimiwa Chenge aliitumia ku-sign mikataba fisadi.

Tawi hili la Chadema nimefunguliwa na watu wasio zidi 15 pamoja na ndugu zak, na limefanikiwa kuandikisha wanachama 3 pekee.

Wengi walio hudhuria na kuliongoza tawi hilo ni wauza unga wanaojulikana na MI5 na walevi mashuhuri hapa London walio na kawaida ya kukesha kwenye baa hiyo

Lema na Chama chake, walishindwa kabisa kuwashawishi wasomi na watanzaia makini waliopo London- INASIKITISHA!!!

Hapa jinsi unavyoonyesha kuwa ni mfuatiliaji wa kila hatua inayopigwa na Chadema, ungekuwa unatumia muda huo kufuatilia kila hatua inayopigwa na makampuni ya uchimbaji madini hapa Tanzania, hakika tusingeibiwa hata kilo moja ya dhahabu yetu.
Ufuatiliaji huu ungeuelekeza kwenye shughuli zinazofanywa na mafisadi, hakika Tanzania ingekuwa tajiri sana maana hakuna ambaye angejaribu kuiba pesa za umma.
Lakini, kama kawaida, ufuatiliaji unaelekezwa kufuatilia wauza unga wa London, na kujua kama wamejiunga na Chadema.
 
Jamaa ameanzisha thread ya kipuuzi halafu anajajibu upuuzi wake mwenyewe na ma-Id mengi
 
Kashafungua matawi saba aliyotangaza atafungua Uingereza?
Kashakutana na Meya wa London kama alivyosema?

Mimi naona mambo ya kufuatilia na kuuliza sana hapa ni yale ambayo yanagusa moja kwa moja maisha ya Watanzania.
Mfano:-
  • JK kashatimiza ahadi ya maisha bora kwa kila mtanzania (kama alivyosema?)
  • JK kashatimiza ahadi ya kununua meli mpya kwa ajili ya ziwa victoria (kama alivyosema?)
  • JK kashatimiza ahadi yake ya kupambana na rushwa nene-nene kama alivyosema mwaka 2005?
  • ....ongezea mwenyewe hapa....

Haya ndio mambo ya kufuatilia ili kama yakitekelezwa, basi maisha yetu yataboreka.
Huyo jamaa aliyeenda London, hata akikutana na mayor wa London, sisi haitusaidii lolote.
 
Baada ya Ndugu Godbless Lema kukosa msaada ya pesa toka kwa Meya Boris Johson wa London, aliamua kuomba misaada makanisani kwa ajili ya Chadema, J’pili ijayo, Mr. Lema anategemea kufanya harambee ya michango ya chama katika kanisa la Kiswahili pale Westminster.

Kama kawaida ya Lema na chadema, walikurupuka na kuamua kuanzisha tawi la chadema mjini London kwenye baa ya wakenya, ni baa hii ambayo Muheshimiwa Chenge aliitumia ku-sign mikataba fisadi.

Tawi hili la Chadema nimefunguliwa na watu wasio zidi 15 pamoja na ndugu zak, na limefanikiwa kuandikisha wanachama 3 pekee.

Wengi walio hudhuria na kuliongoza tawi hilo ni
wauza unga wanaojulikana na MI5 na walevi mashuhuri hapa London walio na kawaida ya kukesha kwenye baa hiyo

Lema na Chama chake, walishindwa kabisa kuwashawishi wasomi na watanzaia makini waliopo London- INASIKITISHA!!!

Vp na wewe ni mmoja wa wauza unga na mlevi mbwa mlokuwepo?ni mtazamo tu we endelea kusinzia

  • :sleepy:
 
Baada ya Ndugu Godbless Lema kukosa msaada ya pesa toka kwa Meya Boris Johson wa London, aliamua kuomba misaada makanisani kwa ajili ya Chadema, J’pili ijayo, Mr. Lema anategemea kufanya harambee ya michango ya chama katika kanisa la Kiswahili pale Westminster.

Kama kawaida ya Lema na chadema, walikurupuka na kuamua kuanzisha tawi la chadema mjini London kwenye baa ya wakenya, ni baa hii ambayo Muheshimiwa Chenge aliitumia ku-sign mikataba fisadi.

Tawi hili la Chadema nimefunguliwa na watu wasio zidi 15 pamoja na ndugu zak, na limefanikiwa kuandikisha wanachama 3 pekee.

Wengi walio hudhuria na kuliongoza tawi hilo ni wauza unga wanaojulikana na MI5 na walevi mashuhuri hapa London walio na kawaida ya kukesha kwenye baa hiyo

Lema na Chama chake, walishindwa kabisa kuwashawishi wasomi na watanzaia makini waliopo London- INASIKITISHA!!!

Freedom of speech at its best; Bull; JF senior expert dreamer; lol shame upon you.
 
Hapa jinsi unavyoonyesha kuwa ni mfuatiliaji wa kila hatua inayopigwa na Chadema, ungekuwa unatumia muda huo kufuatilia kila hatua inayopigwa na makampuni ya uchimbaji madini hapa Tanzania, hakika tusingeibiwa hata kilo moja ya dhahabu yetu.
Ufuatiliaji huu ungeuelekeza kwenye shughuli zinazofanywa na mafisadi, hakika Tanzania ingekuwa tajiri sana maana hakuna ambaye angejaribu kuiba pesa za umma.
Lakini, kama kawaida, ufuatiliaji unaelekezwa kufuatilia wauza unga wa London, na kujua kama wamejiunga na Chadema.

Asante Mkuu kama umejuwa kuwa mimi ni mfuatiliaji, simfuatiliaji wa chadema pekee bali pia vyama vingine na mambo ya uchumi wa chi na madudu mengine, lengo langu nikuweka hadharani madudu

Soma thread yangu vizuru, utaelewa ufuatiliaji wangu kama huu ndio uliosaidia pia kugundua kuwa Chenge alisaini mikataba fisadi kwenye baa hiyohiyo iliyofanyiwa kikao cha kicha ma na chadema.

Nabadu tutaendelea kufunua madudu zaidi.
 
mbona kila linalosemwa kuhusu chadema watu hawakubali ina maana chadema wako perfect jaman?
 
Back
Top Bottom