Tawi la chadema london ni la wauza unga ?

Wanangu mnachosema ni ukweli au propaganda za kisanii za kibongo? Haiwezekani watu wauze unga London waendelee kutanua. Jaribu kutofautisha wauza unga wa kwenu wanaokula na polisi. Sijaona hoja yenye mashiko ya kunishawishi kukubaliana na mtoa hoja zaidi ya kuona propaganda za kichovu. Tupeni ushahidi tuweze kuamua sisi ni watu wazima wenye akili timamu.

Mkuu; Baadhi ya organiser walishawai kufungwa, kwa taarifa yako, we kaa usubiri ushahidi hapa jf! Lema analijua lakini yeye na chadema shida yao ni kuchangisha 5Billion bila kujali zinatoka wapi, alianza kuchangisha makanisani London baada ya kunyimwa msaada na meya wa London.
 
Amna muuza unga hapo hacha kuwachafulia watu, hivi wauza unga au watu wanao nunua magari ya wizi wanataka attention. Kuna watu wanatafuta kwambinu zao tafadhali (sio illegally) na wanajijenga kimaendeleo hapa nyumbani tafadhali hacha kuwaaribia you know Chris was a friend but not an associate. Siasa waachie wenyewe hapa tanzania get a life homo.

Hila nimeamini wapambe nuksi "Chris Lukosi" ni kimbelembele i knew the jealousy would follow kwa watu ambao hata hizo siasa haziwahusu bali wivu tu kuwahusisha na wasio kuwepo kisa walikuwa marafiki wa Chris, jamaa wataendelea kupeta na biashara yao ya kusafirisha mizigo tu hata mkileta wivu ambao ni wa wazi kama umeshindwa retire.
 
Bull, kama hao unaosema walishafungwa ina maana, kisheria, hawana tena hatia, kwani walishatumikia adhabu ya makosa yao. Kama CCM wanafadhiliwa na majambazi kama Massawe mwenye Friends Corner kuna ubaya gani CDM kufadhiliwa? Nijuavyo CDM siyo ambulance chaser kuweza kujua nani na criminal na nani si criminal. Arguement hapa ingekuwa kuwa wanapokea pesa chafu itokanayo na mihadarati sawa na CCM wanavyopokea pesa hiyo huku wakiwahifadhi wauza unga maarufu. Ni juzi tu spika alisema kuwa wabunge wanavuta bangi na kubwia unga. Hii maana yake ni kwamba wanafaidika na unga mara mbili-kwa kuuza na kutumia, ni wafadhili wangapi wa CCM wanajulikana kwa jinai zao? Ni makada wangapi wa CCM wakiwamo Chenge, Lowassa na Dr Rashid wanajulikana walivyo mafisadi wa kunuka na hamsemi? Au ni kwa vile CCM ni chama cha mafisadi jambo ambalo CDM ilipaswa kuepuka ingawa kwa ushoga wake na Sabodo hili haliwezekani.
 
Mkuu; Mbona organiser wengine walishatumikia kifungo!! tusikilize sisi watafiti na wataalam wa siasa achana na Chadema niwagumu kuelewa, sidhani kama wanauwezo wa kutawala nchi

Hoja yako ya pili kuwa Chadema hawana uwezo wa kutawala nchi kwa sasa binafsi ninakubaliana nao kwani it is easy to critisize even a fool can do that lakini kuendesha nchi siyo kitu rahisi kuna mtawala mmoja katika hizi nchi zetu ambaye alishika madaraka baada kukibwaga chama kilichotawala tangu uhuru alisema" kumbe matatizo ya nchi hii ni complex kiasi hiki? sijui hata pa kuanzia kwani wananchi wanahamu ya kuona maajabu ambayo niliwaahidi'
Lakini hoja yako ya kwanza ina utata kidogo kwani mimi nimewahi kuishi huko kidogo na kwa mgeni hasa mwafrika afungwe kutokana na kujishughulisha na madawa ya kulevya, human traffic , na hata kuwa karibu na wanaoshukiwa mambo ya ugaidi eeh bwana ukimaliza kifungo au detention tu wanakupiga PI
 
baada ya ndugu godbless lema kukosa msaada ya pesa toka kwa meya boris johson wa london, aliamua kuomba misaada makanisani kwa ajili ya chadema, j’pili ijayo, mr. Lema anategemea kufanya harambee ya michango ya chama katika kanisa la kiswahili pale westminster.

Kama kawaida ya lema na chadema, walikurupuka na kuamua kuanzisha tawi la chadema mjini london kwenye baa ya wakenya, ni baa hii ambayo muheshimiwa chenge aliitumia ku-sign mikataba fisadi.

Tawi hili la chadema nimefunguliwa na watu wasio zidi 15 pamoja na ndugu zak, na limefanikiwa kuandikisha wanachama 3 pekee.

Wengi walio hudhuria na kuliongoza tawi hilo ni wauza unga wanaojulikana na mi5 na walevi mashuhuri hapa london walio na kawaida ya kukesha kwenye baa hiyo

lema na chama chake, walishindwa kabisa kuwashawishi wasomi na watanzaia makini waliopo london- inasikitisha!!!
ni kweli kabisa kwa hiyo unataka tukusaidie nini?
 
Na mimi nashangaa hawa sijui washabiki wamekuwa kama simba na yanga vile hawakubali ukweli'wao wanaona ndio wanakipenda chama kumbe ndio wanakimaliza'hebu tazama hizi picha za ufinguzi london aibu kwa cdm

Ni aibu kwa mjinga kama wewe
 
Mkuu; Baadhi ya organiser walishawai kufungwa, kwa taarifa yako, we kaa usubiri ushahidi hapa jf! Lema analijua lakini yeye na chadema shida yao ni kuchangisha 5Billion bila kujali zinatoka wapi, alianza kuchangisha makanisani London baada ya kunyimwa msaada na meya wa London.

Nadhani wewe ni Taahira
 
Mkuu; Mbona organiser wengine walishatumikia kifungo!! tusikilize sisi watafiti na wataalam wa siasa achana na Chadema niwagumu kuelewa, sidhani kama wanauwezo wa kutawala nchi

Utaalamu wako unawasaidia nini Watanzania masikini wanaotawaliwa kifisadi huku Tanzania? Si heri hao unaowakashfu kwamba wanauza unga,wametoa mchango utakaosaidia kuimarisha demokrasia ktk Tanzania!!
 
Utaalamu wako unawasaidia nini Watanzania masikini wanaotawaliwa kifisadi huku Tanzania? Si heri hao unaowakashfu kwamba wanauza unga,wametoa mchango utakaosaidia kuimarisha demokrasia ktk Tanzania!!

Naelewa hata viongozi wenu wa juu, Slaa, Mbowe, Lema wanamawazo kama ya kwako, na ndo maana tunasema Chadema ni chama cha mazumbukuku
 
CHADEMA ni wapumbavu wachache wa kaskazini wanaolala wakiota kutajirika kupitia ikulu. poleni sana hilo haliwezekani.
 
jana nape alisema chadema wamepata msaada toka ulaya kisha wanasingizia kufanya harambee leo kizazi kingine cha kina nape kinasema chadema wamekosa msaada wamepata wanachama watatu wauza unga ama kweli mfa maji hukamata maji.na hao wauza unga wasio na hela wanauza dona au sembe mbona mnaweweseka.
 
baada ya ndugu godbless lema kukosa msaada ya pesa toka kwa meya boris johson wa london, aliamua kuomba misaada makanisani kwa ajili ya chadema, j’pili ijayo, mr. Lema anategemea kufanya harambee ya michango ya chama katika kanisa la kiswahili pale westminster.

Kama kawaida ya lema na chadema, walikurupuka na kuamua kuanzisha tawi la chadema mjini london kwenye baa ya wakenya, ni baa hii ambayo muheshimiwa chenge aliitumia ku-sign mikataba fisadi.

Tawi hili la chadema nimefunguliwa na watu wasio zidi 15 pamoja na ndugu zak, na limefanikiwa kuandikisha wanachama 3 pekee.

Wengi walio hudhuria na kuliongoza tawi hilo ni wauza unga wanaojulikana na mi5 na walevi mashuhuri hapa london walio na kawaida ya kukesha kwenye baa hiyo

lema na chama chake, walishindwa kabisa kuwashawishi wasomi na watanzaia makini waliopo london- inasikitisha!!!

inasikitisha pia kwa wewe kutokuwa mtanzania makini
 
Back
Top Bottom