Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 62,673
- 112,528
Zamani nilikuwa naamini kijana wa Kitanzania akipanda ndege na kwenda Ughaibuni basi majungu fitna na roho mbaya pamoja na ujinga huwa anaviacha pale Airport na anakwenda kuzaliwa upya, kumbe nilikuwa najidanganya mwenyewe, imethibitika ni rahisi kumshape mtu wa kwamtogole kuliko hawa Watanzania waliokimbia ugumu wa maisha Bongo.

