Ngoda95
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 2,690
- 4,919
Duh. Mbaula linaelekezwa mtaroni Sasa.Kuna mvuje hii sana wanatumiwa kuwafunga watoto wadogi mkononi kama saa utaona kafungwa kitambaa cheusi na ndani mna kama kijiwe ile ni mvuje
Pia kwa ushauri wale wanaoibiwa pesa kwa mazingira ya ajabu ndani ya droo umeuza hela haionekani kanunue mvuje sio ya unga chukua ya vijiwe weka ndani ya droo hela haitatoka