Tatua tatizo la uume mdogo

Tatua tatizo la uume mdogo

Labda hujanielewa , nilichokuwa namaanisha hivyo vitu vina nini ndani yake why watu watumie hizo ingredients, kitaalamu kuna madini gani hasa ambayo yanasababisha runguleeee likue.
Mkuu, mafuta ya Zaituni mkuu huwezi kulinganisha na mafuta ya nazi hata kidogo mkuu waweza kupita kwenye hii link hapa chini kuweza kuona kati ya mafuta ya nazi na Zaituni yapi ni bora zaidi ya mengine mkuu...


Olive oil vs Coconut oil

Pitia kwa faida yako na wengine waweza tu ku-google utapata faida nyingi ya kufaham ubora wa mafuta ya Zaituni mkuu.

Tulishauriwa hata kutumia kwa kupitia Haya mafuta ila kwa ubora wake hata bei yake iko juu sana. Ila wenye pesa zao wanapikia haya mafuta kiongozi.

Karibu Sana mkuu.
 
Kazi kweli mkuu, kama hiyo hartit najua kama kiungo cha chakula sa kwenye tiba sijui imefika vipi
Ni akili tu na upeo unatofautiana jinsi gani tu utakavyoweza kufikirisha bongo wako.

Na pia sio kila anachokijua mwenzake eti na wewe utakijua ndugu kila mtu amepewa ufaham tofauti juu ya uelewa wa mambo.

Tangawizi pia ni kiungo kwenye chai na hata nyama pia lakini kwani haitibu mtu akiumwa kifua...?

Angekuwa mtu asiye na busara angekwambia "ACHA KUFKIRI KWA KUTUMIA MAKALIO" ila kwa kuwa ni nna busara sikwambii hivyo nikakupa mfano wa tangawizi.

Karibuni Sana.
 
Waganga ni matapeli wakubwa sana. Nliona jamaa ananywesha watu viungo toka uarabuni, vina harufu nzuri sana anadai ni kinga yani hakulogi mtu.
Alichokosea alifungua kichupa nikiona kwamba kimetoka kiwandani akachana kikaratasi chake.
Soma hiyo post ya juu hapo inakuhusu pia.
 
Mnaoweka dawa za kisanii ndo mnafanya wasijiamini! kikubwa namna gani unatumia ulichonacho tuu basi! maana unaweza ukawa na "kubwa jinga" ila mwenye " dogo machachari hufui dafu kwake" jikubali na ulichonachooo yupo atayekipenda
Kwani mpaka hapo ulipo umeshaingizwa ngapi mpaka leo...?
 
Dawa nyingine ni kiberit .upele ..mtama mweupe ..pilipili barid....asal i na mvunge i.. dr tuliane nitafute kupitia 0744068527
Doctor Tulia hebu tulia ndugu. Ulikuwa wapi siku zote kama ulikuwa unajua hizo dawa unazo kwa nini usije kusaidia watu hapa...?
 
Nilifika nikawaambia wanipe unga wa hartiti kuhusu kutofautiana kwa chupa sijachunguza sana mkuu
Haya nilikuelekeza jinsi ya kutumia au bado mkuu.

Jana na leo nilibanwa sana na wagonjwa sikupata nafasi kabisa ya kuwa JF.

Karibu Sana mkuu.
 
Hongera ustadhi, ni elimu ya kutosha sana kwa wenye tatizo hilo
Asante Sana mkuu.

Tupo hapa kusaidia watu wenye matatizo mbalimbali kama ni maradhi ya asili au hata ya kupandikizwa na wachawi au hata wanaosumbuliwa na majini pia.

Karibu Sana.
 
huyu jamaa anatumia id mbali mbali na ana namba zaidi ya moja na hii ninayo id ikibuma anafungua nyingine kama namwongopea aje hapa kusibitisha
Shukran sana mkuu, watu wengine sio wastaarabu kama alivyosema member mwenzetu Makuta ila jambo kubwa ni kuwa siku zote kibaya huwa kinajitembeza ndio kama anavyofanya tuliane.
 
ustadh
mtu poa sana..
hawa mnao ingilia uzi huu na kuweka
manamba yenu ya sim kaeni pembeni bana
acheni utapeli...Papuchi nyie
Shukran sana mkuu kwa kuliona hilo kuweni nao makini sana watu kama hao wakuu.

Sijui siku zote hizo walikuwa wapi kuweza kuja kusaidia watu wenye matatizo.

Asante kiongozi.
 
Hahahaha sasa ustadhi itakua na ukubwa gani baada ya kupaka hio dawa...ikipitiliza ikawa kama punda.?

0404
Hapana mkuu.

Wakati unaichua kila siku huku unaangalia na matokeo jinsi hali inavyoendelea mkuu ukiona kuwa size uliyonayo inakutosha basi hakuna haha ya kuendelea mkuu.

Ila kama mtu alikuwa ni mtu wa masturbation inabidi aache hiko kitendo mara moja tafadhali.

Shukran Karibu.
 
soma mwanzo wa hii thread kuna mafuta sijui mzeitun na nin sijui unavichanga kisha unavuta uume kulekea chini ukiwa umepaka hiyo mafuta
Inasaidia sana mkuu coz wapo watu ambao wanatumia na wamepata mabadiliko kwa kiasi kikubwa pia.
 
Back
Top Bottom