Tatua tatizo la uume mdogo

Tatua tatizo la uume mdogo

Naamini Mungu alimpa kila mtu kiasi chake,unaweza'sononeka kwamba una uume mdogo ila still ni mkubwa na tosha na bora mno kwa mwanamke utakaempata,wengine hadi wanakimbia anakaa siku anakutafuta mwenyewe wala sio kwamba unamuhonga hapana,amekukubali kwa shughuli yako.my point is...kijana usijihisi una maumbile madogo hali hii itakuvunja moyo upate matatizo mengine bure,jikubali jinsi ulivyo muhimu kula vizuri,mazoezi kidogo ndiyo maisha ni magumu ila tupunguze stress hakuna saa tutaacha kuwaza nikuyakubali tu maisha ili uweze kuzilinda nguvu zako zisitetereke.@allustadh umesahau kuwaambia kaka kwamba ni vizuri wakiowa maana uzinzi sio mzuri hata kidogo.
Na pia uwakumbushe mungu alimuumba mwanamke na bikra na maana ya bikra kila mtu afungue kwa kiasi chake mwenye ndogo atafungua kwa udogo wake na itambana na mwenye kubwa atafungua kwa kiasi chake na wote watasikia raha na bila kujali ni kubwa au ndogo
Lakini hivi sasa watu wanajua kuna kubwa na ndogo kwa kuwa uzinzi umekuwa mkubwa kiasi ukimpata aliyepitiwa na inch 12 urefubna upana wa mzunguko inch 10 wewe mwenye inch 6 na mzunguko ni inch 4 utasikia raha gani ? Ni lazma uonekane ni ndogo lakini hiyo hiyo ukimpata mwenye bikra utaonekana kubwa kwa kua funguo imechonga njia yake mpya
Nasisitiza acheni uzinzi huu uzinzi ndio unatupeleka kujua hii ni kubwa na hii ni ndogo wakati tumeekewa bikra ili kila mtu afungue njia kwa saizi yake
Hakuna cha hatiti wala haltoto acha kuzini tafuta jiko jipya fungua njia kwa saizi yako raha ni ile ile anayopata wavinch 12
 
sasaiv tupo zama zingine mkuu.mambo ya bikra sasaiv hayapo na ni adimu.muache ustadhi atoe elimu
 
Hatukatai mkuu nimesema kilichosababisha watu kujihisi uume mdogo ni uzinzi mungu aliweka sealed kwa kujua maumbile ya wsnaume ni tofauti ila maumbile ya mwanamke aliyaweka ya aina moja tu yanahitaji funguo ichonge kwa saizi yake sasa ukishachonga sio ndogo tena hiyo itakuwa ndio saizi yake athari za uzinzi kwa karne nyingi zilizopita ndizo zimetuletea matatizo ya kurefusha na kutanua uume
Ila zingatia kila ukikusudia kuwa iwebkubwa na pana ndio athari yake ni kubwa kwa kuwa umetoka kwenye maumbile ya awali ulioumbiwa nayo kumbuka ukitaka uzuri lazma udhurike kwanza au baadae usifate dunia ya sasa fata sheria za mungu
 
Daaakeki mwaka huu lazma muwafikie wa west Africa kwa Mi ukuni
Sio suala la kushindana kuoneshana nani kamzidi mwenzake laa.

Ila ni kufanya tu kusaidiana walau heshima, furaha, amani na upendo viendelee kuwepo ndani ya nyumba.

Hilo ndio lengo wala si kushindana.
 
Ahsante ustadhi
 
Mbona waarabu wenye mizeituni na hiyo Hartiti hawasifiki kuwa na dushe kubwa?
Kwani wapi wanashindanisha mpaka ukaskia watu wanataka wakashindane ili washinde mkuu...?.
 
Mkubwa je dawa yake nin?
Tunayoongelea hapa ni maumbile madogo hiyo ndio mada iliyopo mkuu usitoke nje ya mada.

Kama una tatizo lako binafsi basi tuonane binafsi ili tuelekezane njia za kusaidiana mkuu.

Ahsanta.
 
Sio suala la kushindana kuoneshana nani kamzidi mwenzake laa.

Ila ni kufanya tu kusaidiana walau heshima, furaha, amani na upendo viendelee kuwepo ndani ya nyumba.

Hilo ndio lengo wala si kushindana.
Ustadh hapa napata taabu kidogo hivi kuwa kubwa ndio heshima furaha na amani hupatikana kwenye nyumba?
Na si utulivu wa nafsi kuaminiana kupendana na kutulizana maisha yaendelee...
Laweza kuwa kubwa na amani utulivu na furaha isipatikane kwenye nyumba
 
Na pia uwakumbushe mungu alimuumba mwanamke na bikra na maana ya bikra kila mtu afungue kwa kiasi chake mwenye ndogo atafungua kwa udogo wake na itambana na mwenye kubwa atafungua kwa kiasi chake na wote watasikia raha na bila kujali ni kubwa au ndogo
Lakini hivi sasa watu wanajua kuna kubwa na ndogo kwa kuwa uzinzi umekuwa mkubwa kiasi ukimpata aliyepitiwa na inch 12 urefubna upana wa mzunguko inch 10 wewe mwenye inch 6 na mzunguko ni inch 4 utasikia raha gani ? Ni lazma uonekane ni ndogo lakini hiyo hiyo ukimpata mwenye bikra utaonekana kubwa kwa kua funguo imechonga njia yake mpya
Nasisitiza acheni uzinzi huu uzinzi ndio unatupeleka kujua hii ni kubwa na hii ni ndogo wakati tumeekewa bikra ili kila mtu afungue njia kwa saizi yake
Hakuna cha hatiti wala haltoto acha kuzini tafuta jiko jipya fungua njia kwa saizi yako raha ni ile ile anayopata wavinch 12
Nafkiri ulichokiandika umeshajijibu mwenyewe mkuu.

Ila hapa tupo kuwasaidia wenye tatizo juu ya maumbile yao kiongozi kama wee huoni kuwa ni tatizo basi wengine wapo kwenye shida na wanahitaji msaada mkuu.

Ahsanta.
 
Back
Top Bottom