Tatua tatizo la uume mdogo

Tatua tatizo la uume mdogo

Mungu hasaidiwi ndugu ila yeye ndio anatusaidia viumbe wake kwa kuelekea maarifa na tiba kama hizi ndugu.

Karibu Sana.
Mwambie kama twamsaidia mungubkuumba watu wasingepelekwa mahospitalini navwengine kufanyiwa operation tungewaacha tu maana ukiweka surgery yoyote utakuwa unaingilia kazi za mungu
Hivyo sivo mungu ametupa maradhi alafu akatupa na dawa
Mkuu hiyo ndio dawa yake
 
What if nataka kuongeza unene wa fimbo hiyo dawa inasaidia? Maana naona hiyo ni ya urefu ila wengine tunataka nene iwe inacover pango pori
 
Sasa mtaalam ukivuta hawezi fika ikawa kama kidole cha shahada unene nao vp
 
Udogo wa maumbile husababishwa na mambo mbalimbali. Vipi dawa hii inatibu hilo tatizo lililosababishwa na nini? Sidhani kama tiba ya tatizo lililosababishwa na utumiaji wa pombe kupita kiasi inaweza kufanana ile ya tatizo lililosababishwa na mchango wa kiume. Kuna wakati hili tatizo huwa linafikia kuwa irreversible kutokana na kiwango cha uathirika na chanzo chenyewe, dawa yako hapo inasema je?
 
nina uthibitisho maisha yako yote hakuna dawa za kuongeza uume sahau tunaibiwa tu kijinga hakuna lolote zaid kuna zoez la kuvuta ndo linaongeza tena it takes time
Bila shaka hiyo ni hyperdromax unayoiongelea sio?
 
Mrejesho mbona hatuupati wakuu na mie nataka kuanza matibabu
Mkuu nami nasubiri mrejesho ili nianze doz vfaa tiba tayari vipo. Au watu wanaogopa kujulikana japo naskia ni siku 21 matokeo dushe linasimama kama kangarouuu
Kwa mujibu wa mtoa mada muda ni siku 15 mpaka 21 (Fanya zoezi hili kwa muda wa siku 15 hadi 21.
). Nahisi mabadiliko yataanza kuonekana baada ya siku 15, sasa mnaotaka mrejesho itabidi msubiri huu uzi umalize wiki mbili
 
Kwa mujibu wa mtoa mada muda ni siku 15 mpaka 21 (Fanya zoezi hili kwa muda wa siku 15 hadi 21.
). Nahisi mabadiliko yataanza kuonekana baada ya siku 15, sasa mnaotaka mrejesho itabidi msubiri huu uzi umalize wiki mbili
Hivi hiyo hartiti haina tabu maana kama linanisisimua flani hivi nahisi kama pilipili
 
Sasa ustadh hivi ukianza kutumia hii dozi inaruhusiwa kufanya mapenzi na mwenzi wako au mpaka zipite siku 21?? 😵
 
Back
Top Bottom