Blessed Keinerugaba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 4,789
- 4,820
kabisa upendo ndio kila kitu!pamoja mkuu upendo ndiyo kila kitu.
kabisa upendo ndio kila kitu!pamoja mkuu upendo ndiyo kila kitu.
Daaah alafu hiyo tattoo ipo sehemu mbaya lazima kila ukitaka kugegeda stimu itakuwa inakata na kurudi kama umeme wa tanesco ikiiona..
Baada ya kumuliza na kumtishia ndoa ndo mwisho kanambia ni ya mpenzi wake wa zamani FRENKI.
kaka yaani toka nimeona hiyo tatoo nimekuwa kama ------- toka jana nafikiri nahitaji cunceling.
Pole sana ndugu,
Hebu fikiria hivi.. mfano wewe hukuwahi kuwa na mwanamke mwingine kabla ya kumuoa huyo mkeo. Sasa imagine kama huyo binti aliyekuwa wako alijichora tattoo, na ameolewa na mtu mwingine inakuwaje? ni mambo ya kawaida tu, kikubwa ni je wewe unamuonaje mkeo, ana tatizo lolote? je msimamo wake kwenye kutaka kuitoa ukoje? kama unaona hana tatizo achana nayo ni mambo ya kawaida tu hayo.. hiyo issue ndogo... je akikuambia alizaa na Frenki ila mtoto yuko kwa mamake si ungejinyonga?
Iko chini ya kalio..
A constant reminder of his wife's ex.Kila mchuma janga hula na wa kwao....haya ndiyo matokeo kukengeuka katika ujana...
Huo sasa ni msumali wa moto ambao dogo anatakiwa kuishi nao for the rest of his life as long as he continues to live with his wfe...
Ni ngumu sana hiyo!
Waungwana habari ya mchana?
Naomba ushauri nina mwaka sasa katika ndoa jana katika kugegeda nimeona tatoo ya ex wake wife imejificha sana chini ya ---- kumuuliza amekua mkali inanipa ugumu sana jamani.
hapo kwenye red...mwanaume ndiye ana tatoo kwenye ---- na wewe ni ke? au wewe ni me ulikuwa una.f.i.ra?
Nafikiri anamaanisha tatoo iliyoko kwenye mwili wa mke wake ikirepresent mtangulizi wake/aliyekuwa na huyo wife wake
A constant reminder of his wife's ex.
Waungwana habari ya mchana?
Naomba ushauri nina mwaka sasa katika ndoa jana katika kugegeda nimeona tatoo ya ex wake wife imejificha sana chini ya ---- kumuuliza amekua mkali inanipa ugumu sana jamani.
Sijui alikaa mkao gani akichorwa?
Huoni kuwa alikuwa anakataa labda kwa sababu ameshindwa kuifuta na anajua itakukasirisha. Jaribu kupunguza hasira, ongea nae akuambie kuhusu hiyo tatoo usome mawazo yake.Kama hukuwahi kuona tatizo lolote huko nyuma, huna sababu ya kuharibu ndoa yako... sijui kama kuna wataalamu wa kutoa hizo vitu hapa kwetu, kama wapo na wewe hupendi mwambie akaifute. Usiharibu ndoa yako kwa jambo dogo kama hilo.yes brother nafikiri angenambia pindi namuoa isingekuwa shida kwanini kaicha mpaka leo nahisi akili yake bado ipo kule kwa kuacha tatoo ndo mana style ya chuma mboga alikua anakataa jana nimelazimisha nayaona majanga.
Popo kanyea mbingu...
Wewe sijui nikuelezeje.....mwanamume ni very delicate linapokuja suala la kujipambanisha na mwanamume mwenzake. Hii constant reminder ni sawa kabisa na death sentence....hukawii kusikia jamaa kaamua kumaliza ubishi kwa kutumia kamba!
Haya mambo yaache hivi hivi...