kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,374
- 9,163
Pole sana mkuu ni maamuzi ya kipindi hicho mkeo akiwa na ujana/usichana umechachamaa akiwa hajafikiria kesho itakuwaje.
Wewe ndio wake kwa sasa sio mtu mwengine, tuliza akili jenga familia yako hilo ni jambo dogo maana sio kwamba amekosa uaminifu mkiwa tayari ndani ya ndoa naamini naye pia inamkera kuliko inavyokukera wewe.