Tatizo Uhuru tuliupewa bure ndo maana hatuna hasira

Tatizo Uhuru tuliupewa bure ndo maana hatuna hasira

Sawa utaitoa ccm utaingiza chama kipi?au vyama vile vya matukio

Kwa taarifa yako chama chochote kinaweza kuongoza nchi hii. Iwapo ccm inatawala nchi hii kwa miaka zaidi ya 40 huku nchi ikiwa masikini sana, na bado inalazimisha kukaa madarakani na maisha yanasonga, ni chama kipi kitashindwa? Ccm haina sera yoyote ambayo unaweza kusema inasimamia baada ya Nyerere kuondoka, bali kwakuwa ndio inasimamia hazina basi inapeleka huduma za kijamii kiasi inachoweza.

Hivyo chama chochote kitakachoingia nacho kitapeleka hizo huduma kwa jamii. Vyama vingine vitakavyokuwa pembeni ikiwemo ccm vitakuwa vinapiga kelele na chama hicho kilicho madarakani kitakuwa kinainanga ccm kuwa ni chama cha matukio.
 
KIBARAKA wa SHETANI kulikoni tena?!. SHETANI MKUU kakutuma katika vazi la ubinadamu ili mtuangamize. ?!
CCM na MaMCCM ni laana KUBWA kwa Tanganyika na Zanzibar.
 
Amani ni kitu muhimu kuliko vyote, Kama unataka madiliko anza na mabadiliko ya kupambana kwa ajili ya kizazi chako na jamii yako Kiuchumi

Ndege John jaribu kufikiri upya uko unapo fikiria sipo, Nchi ikiwa aina Amani kwa Dunia ya sasa hasa Nchi zetu za Ki Afrika ndio basi tena kwa Dunia ya leo, na unao waona wanafaa watafaa kwa Matumbo yao tuu.

Acha uoga wewe.. mabadiliko yanahitaji sacrifice.. hiyo amani unayosema ni too superficial and temporary.. amani ya kudumu na ya dhati inakuja kwa kugangamara, kufutilia mbali ujinga wote unaokwamisha nchi yetu kuwa huru. Wapuuzi wako wengi, kuwashinda kwa mdomo siyo rahisi. Lazima violence itumike. Na katika violence, victims watakuwepo. Cha muhimu, baada ya ukombozi na kuleta amani ya kweli, itatafutwa namna nzuri ya kuwafuta machozi watakaoathirika lakini hawana hatia

Kukaa unalia lia na amani feki ni kujilisha upepo.. na ni upumbafu kwa ufupi
 
Tungekuwa na uchungu na nchi kama tungepewa kwa mbinde.
Sisi tumepewa dezo dezo ndio maana tumelemaa.
Sina hakika kama tunajari maisha yetu na ya watoto wetu pia,naona Kama tupo tupo tu huku tukiishia kuimbishwa kauli mbiu uchwara za ccm.
 
Ww unauhakika gani iko chama kitafanya makubwa kuliko ccm

Makubwa ya ccm unayapima kwa idadi ya miaka iliyokaa madarakani au ubora wa ilichofanya? Je makubwa ya ccm yataanza kupimwa kwenye nyanja zipi? Siasa, uchumi, afya, elimu ama nini hasa? Ni kipi walichofanya cha maajabu kwenye maeneo tajwa ambacho chama kingine kikiingia madarakani kitashindwa kuyafanya? wamepeleka chombo chochote anga za mbali useme hao wataalamu wapo ccm tu? Je wameweza kutengeneza mvua useme hayo yanawezwa kufanywa na ccm tu?
 
[emoji1][emoji1] huwa nikisoma hizi post za nyuma ya keyboard nafurahi sana.. hapa tutaongea kwa ujasiri kweli na kushupaza shingo ila ukiambiwa ingia barabarani hamtokei..
 
Keyboard fighters [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1][emoji1] huwa nikisoma hizi post za nyuma ya keyboard nafurahi sana.. hapa tutaongea kwa ujasiri kweli na kushupaza shingo ila ukiambiwa ingia barabarani hamtokei..
 
Huyu lumumba katumwa kupima upepo humu jf ili waishtaki kwa kuchochea uhaini! Kuweni makini na nyuzi zake kwani nyingi zina mitego ya panya!
 
Umesha kata Tamaa na Maisha inavyo onyesha, Nawasitikia wale watakao kuunga Mkono.
Acha uoga wewe.. mabadiliko yanahitaji sacrifice.. hiyo amani unayosema ni too superficial and temporary.. amani ya kudumu na ya dhati inakuja kwa kugangamara, kufutilia mbali ujinga wote unaokwamisha nchi yetu kuwa huru. Wapuuzi wako wengi, kuwashinda kwa mdomo siyo rahisi. Lazima violence itumike. Na katika violence, victims watakuwepo. Cha muhimu, baada ya ukombozi na kuleta amani ya kweli, itatafutwa namna nzuri ya kuwafuta machozi watakaoathirika lakini hawana hatia

Kukaa unalia lia na amani feki ni kujilisha upepo.. na ni upumbafu kwa ufupi
 
Tanzania tungeingia msituni kumtoa mkoloni anayetunyonya nadhani kizazi Cha vijana kingekuwa na hasira lakini tatizo Uhuru tuliupewa kimayai mayai na ndo maana katika mindset zetu hatuwezi kufanya lolote tupo Tupo tu kama PANYA wa kanisa ambaye hawezi kula sadaka Wala Kudata na Misa..oyaa wakuu me sielewi, nachofikiria vijana tuna kazi kubwa Sana labda pengine tuwaulize majirani zetu ilikuwaje kuwaje wakaweza na wanaweza.
Au SIO anza kwanza wewe angalau hata kwa kumpiga kofi mwenyekiti wa ccm wa kitongoji ili tuone kweli una hasira
 
Tanzania tungeingia msituni kumtoa mkoloni anayetunyonya nadhani kizazi Cha vijana kingekuwa na hasira lakini tatizo Uhuru tuliupewa kimayai mayai na ndo maana katika mindset zetu hatuwezi kufanya lolote tupo Tupo tu kama PANYA wa kanisa ambaye hawezi kula sadaka Wala Kudata na Misa..oyaa wakuu me sielewi, nachofikiria vijana tuna kazi kubwa Sana abda pengine tuwaulize majirani zetu ilikuwaje kuwaje wakaweza na wanaweza.
hata zanzibar wametuzidi wao waliua MBWA MMOJA 1972
 
Back
Top Bottom