Tatizo Uhuru tuliupewa bure ndo maana hatuna hasira

Tatizo Uhuru tuliupewa bure ndo maana hatuna hasira

Tanzania tungeingia msituni kumtoa mkoloni anayetunyonya nadhani kizazi Cha vijana kingekuwa na hasira lakini tatizo Uhuru tuliupewa kimayai mayai na ndo maana katika mindset zetu hatuwezi kufanya lolote tupo Tupo tu kama PANYA wa kanisa ambaye hawezi kula sadaka Wala Kudata na Misa..oyaa wakuu me sielewi, nachofikiria vijana tuna kazi kubwa Sana labda pengine tuwaulize majirani zetu ilikuwaje kuwaje wakaweza na wanaweza.

Umeongea kila kitu kwa kutumia maneno machache sana!
 
Back
Top Bottom