Tatizo Uhuru tuliupewa bure ndo maana hatuna hasira

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,996
Reaction score
61,231
Tanzania tungeingia msituni kumtoa mkoloni anayetunyonya nadhani kizazi Cha vijana kingekuwa na hasira lakini tatizo Uhuru tuliupewa kimayai mayai na ndo maana katika mindset zetu hatuwezi kufanya lolote tupo Tupo tu kama PANYA wa kanisa ambaye hawezi kula sadaka Wala Kudata na Misa..oyaa wakuu me sielewi, nachofikiria vijana tuna kazi kubwa Sana labda pengine tuwaulize majirani zetu ilikuwaje kuwaje wakaweza na wanaweza.
 
Unataka tuingie msituni tuitoe ccm .?
 
Mkuu naona umeichukia CCM kuliko sisi wazalendo wenyewe wa siku nyingi, pole sana, tulia wasije wakakutumia watu wasiojulikana.
Cc: imhotep
 
Ndio maana mna kauli na matendo provocative hivyo? Ndio lengo?
 
Amani ni kitu muhimu kuliko vyote, Kama unataka madiliko anza na mabadiliko ya kupambana kwa ajili ya kizazi chako na jamii yako Kiuchumi

Ndege John jaribu kufikiri upya uko unapo fikiria sipo, Nchi ikiwa aina Amani kwa Dunia ya sasa hasa Nchi zetu za Ki Afrika ndio basi tena kwa Dunia ya leo, na unao waona wanafaa watafaa kwa Matumbo yao tuu.
 
Tanzania tungeingia msituni kumtoa mkoloni anayetunyonya nadhani kizazi Cha vijana kingekuwa na hasira lakini tatizo Uhuru tuliupewa kimayai mayai na ndo maana katika mindset zetu hatuwezi kufanya lolote tupo Tupo tu kama PANYA wa kanisa ambaye hawezi kula sadaka Wala Kudata na Misa..oyaa wakuu me sielewi, nachofikiria vijana tuna kazi kubwa Sana labda pengine tuwaulize majirani zetu ilikuwaje kuwaje wakaweza na wanaweza.
Siku nyingine CCM isisukumize mtu ndani kwenye madaraka makubwa kama haya
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom