Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi

Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi

Acha kudanganya watu Mbiti,kinachounganisha mapenzi ya mwanamke na mwanaume ni ushiriki mkamilifu wa tendo la ndoa binafsi nimelikosa kwa miezi 6 nimekua na Mawazo mpaka nimekonda sikia hivyo hivyo ndugu yangu labda kwa kua umekili kua utachepuka kitu ambacho kina toa tafsiri kamili kua hitoweza kuvumilia

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiee pole sana madam!! Allah atawafanyieni wepesi katika ndoa yenu na shem atapona tu!!

Sasa kipindi hicho chote umekuwa ukitumia maji ya moto au dildo?
 
Hao ndio wanatusababishia tutembee Na wake za watu!! Atavumilia mwezi tu baada ya hapo akitoka tu jicho halitulii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] hakitoki kitu nitamtunzia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom