Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi

Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi

ah mie km nimempenda haina shida dudu wala sijali shoga !kweli tena ! hao watt tutaadopt ! mie naweza na sitamcheat hata nukta sema akinitibuaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Wewe ninayekujua usitie mtarimbo angalau mara moja baada ya siku mbili utakuwa kichaa. Acha kuwazuga wenzako
 
Wewe ninayekujua usitie mtarimbo angalau mara moja baada ya siku mbili utakuwa kichaa. Acha kuwazuga wenzako



hahahahahahahha best umetisherrrrrrrrrrrrrrrrrr!eti ninayekujua !hahha kitanda usichokilalia hujui kunguni zake !mitarimbo bongo
 
LadyAJ mie nnajijua !yaan mie nikipenda ukweli hata men anitongoze huwa nahis ni mwanamke simuon kunivutia !hahaha miez 6 unakonda ?hahahahahah we sio mhenga !mie nimekaaga 2yrs bila dudu mume alikuwa masomon sijawah hata kwenda sijui grocery ninywe hata wine! najua namananisha !inakera pale unapompenda mtu kumbe nyuma linakuchora tu ! huyo unamfanyia revenge safi ya kufa mtu akae sawa akuheshim ! yaan wewe ishia hapo hapo !miez 6 miduchuz !pole !sasahv utachanaaaaaa heheheh! mnara full 24/7

mie ukinikera na nikakereka huwa lazima nirevenge moyo utulie !naanza upya !lol
Kwa hiyo sasa unacheat maana mumeo ni mlevi na mwasherati?
 
Mwanamke unaweza kukaa hata miaka mi 5 bila ya dudu lakini iwe mbali kama ulivyosema kua yuko masomoni,lakini nalala nae naamka nae (binafsi wangu alikua ni MGONJWA wa nyonga! Unakumbatiwa tu huku umebana mapaja Wallah hiyo kuivumia si kazi ndogo,maana mwili wapata misisimuoa yote kasoro ile hatua ya mwisho. Kubali kataa huo ni mtihani mgumu sana na usipomtanguliza M/Mungu unaweza jikuta unaanza kumdharau

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema na wewe karibu yakushinde wakati wa hr9999
 
Kwa hiyo sasa unacheat maana mumeo ni mlevi na mwasherati?


wapi nimesema mwasherati mkuu !sicheat! nop!hana umalaya na kuishi nae 7yrs sijawah gombana nae kisa mwanamke aiseee !najua anajificha sema na mie timetaker balaa! sijui awe asiwe wala haipunguzi kitu kwangu
 
Back
Top Bottom