BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,919
Absolutely tuko pamoja,... Ur too cute and smart such a combination
The main isue is imbalance of hormonesUsiseme wanaume tu ata wanawake mahanisi wapo wengi tu,.... Ni tatizo la kimaumbile ya hormones au matatizo ya utotoni pia miyonzi hatarishi kwa mama mjamzito inaleteleza hili...inasemekana ata uvutaji wa sigara unaweza leta hili japo halijathibitishwa kuhasilia
Hao ndio wanatusababishia tutembee Na wake za watu!! Atavumilia mwezi tu baada ya hapo akitoka tu jicho halitulii
Mwanamke unaweza kukaa hata miaka mi 5 bila ya dudu lakini iwe mbali kama ulivyosema kua yuko masomoni,lakini nalala nae naamka nae (binafsi wangu alikua ni MGONJWA wa nyonga! Unakumbatiwa tu huku umebana mapaja Wallah hiyo kuivumia si kazi ndogo,maana mwili wapata misisimuoa yote kasoro ile hatua ya mwisho. Kubali kataa huo ni mtihani mgumu sana na usipomtanguliza M/Mungu unaweza jikuta unaanza kumdharau
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha asante ngoja tumuache tu!embu mhenga mwambie bhana, mi namtazama nashindwa mmaliza
Sent From Ikulu-Magogoni street
Mungu yupo kila sehemu hakuna mahali ambayo Mungu hayupo kumbuka hata wachawi humuomba MunguHapa unakosea sasa.
Mungu hayupo
Sent From Ikulu-Magogoni street
mmmmmmah mie km nimempenda haina shida dudu wala sijali shoga !kweli tena ! hao watt tutaadopt ! mie naweza na sitamcheat hata nukta sema akinitibuaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Uvinza MNA yaweza nyie vijana teh teh teh!Duh maskini pole kipenzi! Dah hapo ni mtihani maana hata akienda uvinza bado haisaidii![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha,Sawa nini sasa jamani??Sawa,
Ha ha ha ha,Sawa nini sasa jamani??
Uongo wa jua la utosiah mie km nimempenda haina shida dudu wala sijali shoga !kweli tena ! hao watt tutaadopt ! mie naweza na sitamcheat hata nukta sema akinitibuaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Basiiii sawaaaNimekubali ati unataka nikatae,???
hasira hizo ndio maana mnajikuta mnarevenge mpaka mnajikuta mnatoa 0713 ili kumkomoa mume, kumbe unajikomoa, jua mwanaume si kushindana nae, ukiona vile kuwa mpole tuLadyAJ mie nnajijua !yaan mie nikipenda ukweli hata men anitongoze huwa nahis ni mwanamke simuon kunivutia !hahaha miez 6 unakonda ?hahahahahah we sio mhenga !mie nimekaaga 2yrs bila dudu mume alikuwa masomon sijawah hata kwenda sijui grocery ninywe hata wine! najua namananisha !inakera pale unapompenda mtu kumbe nyuma linakuchora tu ! huyo unamfanyia revenge safi ya kufa mtu akae sawa akuheshim ! yaan wewe ishia hapo hapo !miez 6 miduchuz !pole !sasahv utachanaaaaaa heheheh! mnara full 24/7
mie ukinikera na nikakereka huwa lazima nirevenge moyo utulie !naanza upya !lol
hasira hizo ndio maana mnajikuta mnarevenge mpaka mnajikuta mnatoa 0713 ili kumkomoa mume, kumbe unajikomoa, jua mwanaume si kushindana nae, ukiona vile kuwa mpole tu
nitakuunga mkono pale utakapoacha chuki, ubaguzi na visasi
hapa tutashindana mpk kesho.Mungu yupo kila sehemu hakuna mahali ambayo Mungu hayupo kumbuka hata wachawi humuomba Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kumpotosha mwenzio ma tom boy (lesbians) sio mahanithi hao hawana tofauti na wanaume mashogaAbsolutely tuko pamoja,... Ur too cute and smart such a combination
Acha kumpotosha mwenzio ma tom boy (lesbians) sio mahanithi hao hawana tofauti na wanaume mashoga
Sent using Jamii Forums mobile app
We nae mwehu tuPole dear mvumilie mumeo mpende usimtende yataisha atapona ila lady j achatu kiukweli moyo umekinai kupenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyojadili mimi huku nadindahaha sure!ila km ana mikono mie naona poa tu sio lazima kududuana mwe vidole tu unasquirt unaenda zako chambua tembele lako kimyaaa