MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,082
Mwanamke unaweza kukaa hata miaka mi 5 bila ya dudu lakini iwe mbali kama ulivyosema kua yuko masomoni,lakini nalala nae naamka nae (binafsi wangu alikua ni MGONJWA wa nyonga! Unakumbatiwa tu huku umebana mapaja Wallah hiyo kuivumia si kazi ndogo,maana mwili wapata misisimuoa yote kasoro ile hatua ya mwisho. Kubali kataa huo ni mtihani mgumu sana na usipomtanguliza M/Mungu unaweza jikuta unaanza kumdharau
Sent using Jamii Forums mobile app
i can feel u ! ngj niishie hapa !