Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,032
Nikili tu mie ni mmoja wa wabovu wa kupenda kufanya mapenzi na mume wangu (only with him) yaani iwe mchana iwe asubuhi iwe jioni au hata usiku ikitukutia eneo mahususi basi mambo yanajiachia tu,na hali hii tuliyozoeshana ulikua inatupa shida sana miezi ya mwanzo lakini M/Mungu bwana si wa kushindana nae yeye anajua kumbadili yeyote katika wakati wowote tumejikuta tu tunanguvu siku zinaenda tukipiga romance zetu zile basi tunafumba macho tunalala,what is dildo kwa aliyezoea viungo halisi vya mwenziwe!! Nimekua hapa kumpa nguvu siku zoteAiee pole sana madam!! Allah atawafanyieni wepesi katika ndoa yenu na shem atapona tu!!
Sasa kipindi hicho chote umekuwa ukitumia maji ya moto au dildo?
Hivi romance bila sex si ni kujizidishia mimyegee tu au inakuaje??Nikili tu mie ni mmoja wa wabovu wa kupenda kufanya mapenzi na mume wangu (only with him) yaani iwe mchana iwe asubuhi iwe jioni au hata usiku ikitukutia eneo mahususi basi mambo yanajiachia tu,na hali hii tuliyozoeshana ulikua inatupa shida sana miezi ya mwanzo lakini M/Mungu bwana si wa kushindana nae yeye anajua kumbadili yeyote katika wakati wowote tumejikuta tu tunanguvu siku zinaenda tukipiga romance zetu zile basi tunafumba macho tunalala,what is dildo kwa aliyezoea viungo halisi vya mwenziwe!! Nimekua hapa kumpa nguvu siku zote
Sent using Jamii Forums mobile app
haupo serious ww!!shoga umekutana na hanithi?yalaaa!lakini mie km nampenda na ananipenda mie poa tu !serious !
pole sana aisee!!Mwanamke unaweza kukaa hata miaka mi 5 bila ya dudu lakini iwe mbali kama ulivyosema kua yuko masomoni,lakini nalala nae naamka nae (binafsi wangu alikua ni MGONJWA wa nyonga! Unakumbatiwa tu huku umebana mapaja Wallah hiyo kuivumia si kazi ndogo,maana mwili wapata misisimuoa yote kasoro ile hatua ya mwisho. Kubali kataa huo ni mtihani mgumu sana na usipomtanguliza M/Mungu unaweza jikuta unaanza kumdharau
Sent using Jamii Forums mobile app
bibie embu kuwa serious basi!!Sijakutana nae ila natafuta mwanaume hanisi wakunioa huyu ataniheshimu nitamuheshimu najua hataniumiza nitafurahia maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
bibiee usiumize kichwa kwenye vitu km hvyo.Dear kama yupo nipo tayari kuwa nae nimechoka nishaumia mapenz yakupeana uroda Mimi nimeyachoka sijaona faida yoyote zaid kuumizwa moyo
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna ukweli ktk hilo,Hii nikweli tena usibishe kaka yangu kitovu cha mtoto kikitaka kuanguka mzazi uwe makini zaid yasana umakini wenu utamuokoa mtoto kitovu kikianguka kikagusa nyeti yamtoto ndio basi ata madoctar waulize watakueleza
Sent using Jamii Forums mobile app
embu mhenga mwambie bhana, mi namtazama nashindwa mmalizaHakuna ndoa ya kuweka headphone usichoshe watu Doris Tatizo nyie mabinti wa kileo mkikatazwa jambo hamsikii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa unakosea sasa.Ushauri wangu wa mwisho kabisa kwako
Itafute furaha kwa kupitia M/Mungu
Sent using Jamii Forums mobile app
inabidi nikuzoee kwa haya masihara!!mie nishavurugwa shogaa sipend dyudyu hatari! bora hao!
Mmh mh jmn! Elimu ya wapi hii?Kama mwanao hasimami mweke katikati ya mapaja ugusishe mapema kabla hajajitambua
Wanawake mahanisi ndio Lesbian?Usiseme wanaume tu ata wanawake mahanisi wapo wengi tu,.... Ni tatizo la kimaumbile ya hormones au matatizo ya utotoni pia miyonzi hatarishi kwa mama mjamzito inaleteleza hili...inasemekana ata uvutaji wa sigara unaweza leta hili japo halijathibitishwa kuhasilia
We unafikiri mtaishi bila kutibuana?ah mie km nimempenda haina shida dudu wala sijali shoga !kweli tena ! hao watt tutaadopt ! mie naweza na sitamcheat hata nukta sema akinitibuaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Shem kasafiri ama vepee?? Maana na kipupwe hiki aiseeAcha kudanganya watu Mbiti,kinachounganisha mapenzi ya mwanamke na mwanaume ni ushiriki mkamilifu wa tendo la ndoa binafsi nimelikosa kwa miezi 6 nimekua na Mawazo mpaka nimekonda sikia hivyo hivyo ndugu yangu labda kwa kua umekili kua utachepuka kitu ambacho kina toa tafsiri kamili kua hitoweza kuvumilia
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnara 24/7LadyAJ mie nnajijua !yaan mie nikipenda ukweli hata men anitongoze huwa nahis ni mwanamke simuon kunivutia !hahaha miez 6 unakonda ?hahahahahah we sio mhenga !mie nimekaaga 2yrs bila dudu mume alikuwa masomon sijawah hata kwenda sijui grocery ninywe hata wine! najua namananisha !inakera pale unapompenda mtu kumbe nyuma linakuchora tu ! huyo unamfanyia revenge safi ya kufa mtu akae sawa akuheshim ! yaan wewe ishia hapo hapo !miez 6 miduchuz !pole !sasahv utachanaaaaaa heheheh! mnara full 24/7
mie ukinikera na nikakereka huwa lazima nirevenge moyo utulie !naanza upya !lol
weka mbali na watotoDuh maskini pole kipenzi! Dah hapo ni mtihani maana hata akienda uvinza bado haisaidiiMwanamke unaweza kukaa hata miaka mi 5 bila ya dudu lakini iwe mbali kama ulivyosema kua yuko masomoni,lakini nalala nae naamka nae (binafsi wangu alikua ni MGONJWA wa nyonga! Unakumbatiwa tu huku umebana mapaja Wallah hiyo kuivumia si kazi ndogo,maana mwili wapata misisimuoa yote kasoro ile hatua ya mwisho. Kubali kataa huo ni mtihani mgumu sana na usipomtanguliza M/Mungu unaweza jikuta unaanza kumdharau
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kumuumiza kaka wa watu tu! Muishi wote kama wanawake tu jmn?Sijakutana nae ila natafuta mwanaume hanisi wakunioa huyu ataniheshimu nitamuheshimu najua hataniumiza nitafurahia maisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakujitakia ni upi huoHivi tatizo nini wanaume kuzaliwa Na uhanisi acha huu wakujitakia ule wakuzaliwa tatizo nini je wanakujaga kupona kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah kutiana shombo tu bwana! Vidole tuhaha sure!ila km ana mikono mie naona poa tu sio lazima kududuana mwe vidole tu unasquirt unaenda zako chambua tembele lako kimyaaa