Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi

Tatizo nini mwanaume kuzaliwa hanithi

Ndivyo hivyo ,mwenza wangu alipata ajali ya gari February 18 akapata tatizo kwenye nyonga
Ni ngumu sana watu wanaongea tu hapa,unaona kitu ile palee lakini unameza tu mate

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole dear mvumilie mumeo mpende usimtende yataisha atapona ila lady j achatu kiukweli moyo umekinai kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
dini gani inaruhusu mahanisi kuoa Doris ? Pole sana ila hakuna furaha ya namna hiyo katika ndoa maana utakua na mwanaume dhaifu atayejishtukia hata pale utapokosea kwa bahati mbaya,jiandae kuna na ndoa ya makelele

Sent using Jamii Forums mobile app
Bola yamakelele nitavumilia akiongea naweka headphones kuliko kusalitiwa hii inauma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole dear mvumilie mumeo mpende usimtende yataisha atapona ila lady j achatu kiukweli moyo umekinai kupenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Take time bila ya kua na mahusiano,hata miaka mi 2-3 huku ukielekeza dua zako kwa M.Mungu,naamini yeye anatujua zaidi atakuletea aliyekupangia badala ya kumpangia kwa kumtafuta hanithi ukidhani ndio utapata furaha maisha ni,jiandae kuingia kwenye mgogoro mwingine mkubwa zaidi ya wa sasa na badala ya kusubiri hilo likutokee ni vyema ukawa unafanya ibada zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna ndoa ya kuweka headphone usichoshe watu Doris Tatizo nyie mabinti wa kileo mkikatazwa jambo hamsikii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sichoshi watu Dada yangu unaongea huenda hayajakukuta ulijaliwa ukapata mume mitihani ya mahusiano hujayapitia Dada mshukuru Mungu kukupa mume anaekuheshimu nakujua thamani yako Mimi naitafuta furaha yangu Na amani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom