Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
Tatizo ni pale:
[h=5]- Unapoenda kwenye intavyiu ya kazi unakuta boss ni jamaa ambaye mlishawahi kugombana mahali flani.
- Unapoandika status Facebook "Asante Mungu mshahara umetoka" halafu mwenye nyumba wako ana-Like.
- Nzi katua kwenye kipara cha mzee wako halafu unataka kumpiga kwa mkono.
- Uko kwenye daladala halafu unatupa noti ya shilingi mia 5 dirishani badala ya vocha uliyomalizia kuiweka kwenye simu.
- Baba yako anafanya kazi Tanesco halafu mmekaa home umeme unakatika unasema "Mungu na awalaani Tanesco"[/h]