Husninyo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2010
- 23,723
- 9,193
Hapana Hus,
Ila nadhani wengi wanakubali (hata kama hawaamini na hawataki kabisa) kwamba wanaume wengi wanatoka nje ya ndoa (kwa mtindo wa chap chap au nyumba ndogo)....hapa natumia definition ya Big!!
Na siyo wanaume wote wana nyumba ndogo (mie naweza kukuapia hata kwa mtutu wa bunduki kwamba sina na kuna wenzangu kibao) na pia wapo baadhi ambao hawajawahi kukamatwa kwenye mtego wa shetani (wapo au tupo)!!!!
Hata hivyo, wakati wanawake wengi wanapambana kuwazuia waume zao wasicheat au kuwa na nyumba ndogo (which is beyond cheating), wanaume wengi wanapambana kumshinda shetani wasikamatwe na mtego wa kuingia kwenye mambo ya small house au kupata huduma ya chap chap!!
Babu DC!!
kama wapo wanaume ambao hawana nyumba ndogo, ni mambo gani yanawafanya wasiwe na nyumba ndogo. Inakuwaje wanawake wengi wanaume zao wakiwa na nyumba ndogo huona kama ni nature ya mwanaume na si kwamba wao wanaweza changia kwa namna moja au nyingine hao wanaume kuwa na nyumba ndogo. Halafu kweli jamani ugundue mume ana nyumba ndogo usistuke wala roho isiumee!! Inawezekana?