Ushauri wenu unahitajika

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Mar 25, 2020
4,425
9,823
Nina shida ya kusikia vizuri. Nilianza kuona effects za tatizo nikiwa form 3. Nimejitahiri kusaka matibabu mara kadha, mara ya mwisho kwenda hospital pale CCBRT niliambiwa ngoma ipo fresh shida ipo kwenye nerves hazina muunganiko mzuri na ubongo. Kwa sasa hakuna matibabu hata oparesheni haiwezi ikasaidia. Dokta aliniambia kuna hearing device naweza kutumia ila inawezekana zisisaidie pia na kuna uwezekano wa kuongeza ukubwa wa tatizo ikapelekea kuwa kiziwi kabisa. Nikaona acha tu nijikubali ivyo ivyo sijawahi kusaka tena matibabu kuanzia hapo.

Nikiongea na mtu face to face tunaweza tukaelewana ingawa sometimes inakua kwa ugumu kidogo kama tupo sehemu yenye makelele, ninaeongea nae akiwa na kigugumizi au akiongea kwa sauti ya chini sana tatizo kubwa kuongea na mtu kwenye simu ndio simuelewi kabisa. Sauti naisikia ila haiji kimpangilio kuweza kujua mwenzangu anaongea nini.

Nakumbana na changamoto nyingi sana. Sana sana kwenye suala la zima la mishe za kujitafutia kipato. Kwenye oral interview sometimes kusikia shida, mishe ambazo zinahitaji kuwasiliana na watu mara kwa mara mfano udalali siwezi kufanya kabisa hata kwenye CV imenilazimu kuandika namba ya ndugu maana nikiweka namba yangu naweza kupigiwa na muajiri nisimsikie vizuri. Mawasiliano yangu ni kwa njia ya sms tu.

Nahitaji kujua kama kuna hearphone ninazoweza kutumia kutatuta changamoto ya kuwasiliana na mtu kwenye simu. Na pia kwenye mishe za kujitafutia nitilie mkazo kwenye career ipi ambayo tatizo langu halitakua kikwazo.
 
Aisee, tafuta Kanisa la kiroho zuri, (sio mitume na Manabii), mfano TAG AU FPCT - Kubwa, kaa chini na Mchungaji, mweleze, Mwambie

" Ninaamini Kimbilio langu ni Mungu na Mungu ataniponya"

Akishakuombea, endelea kuhuzuria ibada kwa uhakika, na kusoma maneno ya uponyaji kwenye Biblia.

Ninaamini katika uponyaji wa Kimungu kupitia kifo cha Kikristo, na upongaji wako upo kwenye mikono yako.

Kwa maelezo yako, science will never help you, usijisumbue au kujiongezea matatizo.

Mungu akuvushe hapa kwa Jina lake Amen.
 
Pole sana MKuu,

Sound World Solutions CS50+​

Opera Snapshot_2023-10-13_141402_nagish.com.png
 
TUMIA HIZO DAWA, MEZA 1X1 KWA NAT B MUDA WA KULALA SIKU 90

MEZA 1X1 KWA REX MUDA WA KULALA SIKU 90
IMG_20230830_084532_280.jpg
IMG_20230830_084420_001.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nina shida ya kusikia vizuri. Nilianza kuona effects za tatizo nikiwa form 3. Nimejitahiri kusaka matibabu mara kadha, mara ya mwisho kwenda hospital pale CCBRT niliambiwa ngoma ipo fresh shida ipo kwenye nerves hazina muunganiko mzuri na ubongo. Kwa sasa hakuna matibabu hata oparesheni haiwezi ikasaidia. Dokta aliniambia kuna hearing device naweza kutumia ila inawezekana zisisaidie pia na kuna uwezekano wa kuongeza ukubwa wa tatizo ikapelekea kuwa kiziwi kabisa. Nikaona acha tu nijikubali ivyo ivyo sijawahi kusaka tena matibabu kuanzia hapo.

Nikiongea na mtu face to face tunaweza tukaelewana ingawa sometimes inakua kwa ugumu kidogo kama tupo sehemu yenye makelele, ninaeongea nae akiwa na kigugumizi au akiongea kwa sauti ya chini sana tatizo kubwa kuongea na mtu kwenye simu ndio simuelewi kabisa. Sauti naisikia ila haiji kimpangilio kuweza kujua mwenzangu anaongea nini.

Nakumbana na changamoto nyingi sana. Sana sana kwenye suala la zima la mishe za kujitafutia kipato. Kwenye oral interview sometimes kusikia shida, mishe ambazo zinahitaji kuwasiliana na watu mara kwa mara mfano udalali siwezi kufanya kabisa hata kwenye CV imenilazimu kuandika namba ya ndugu maana nikiweka namba yangu naweza kupigiwa na muajiri nisimsikie vizuri. Mawasiliano yangu ni kwa njia ya sms tu.

Nahitaji kujua kama kuna hearphone ninazoweza kutumia kutatuta changamoto ya kuwasiliana na mtu kwenye simu. Na pia kwenye mishe za kujitafutia nitilie mkazo kwenye career ipi ambayo tatizo langu halitakua kikwazo.
"Dokta aliniambia kuna hearing device naweza kutumia ila inawezekana zisisaidie", huo ndio ushauri wa daktari, unaweza ukatumia pesa nyingi kununua na zisikupe faida unayotarajia. Jaribu kwenda kwa dakitari mwingine wa masikio naye ukasikie atasema nini, hii ni sawa na kukata rufaa.
 
Pole sana mkuu niliwahi kuwa na mtu wa karibu mwenye shida hii, I hope utafata moja kati ya ushauri hapo juu kutoka kwa wachangiaji.....Mungu ni mwaminifu sana mtwishe fadhaa zako naye atashughulika nazo.
 
"Dokta aliniambia kuna hearing device naweza kutumia ila inawezekana zisisaidie", huo ndio ushauri wa daktari, unaweza ukatumia pesa nyingi kununua na zisikupe faida unayotarajia. Jaribu kwenda kwa dakitari mwingine wa masikio naye ukasikie atasema nini, hii ni sawa na kukata rufaa.
Nataka angalao hearing za kutumia kuwasiliana na mtu kwenye simu tukaelewana sio za kuvaa masikioni muda wote. Kuhusu kurudi kwa dokta mwingine kwa hili tatizo langu mchakato wa hospital gharama ni kubwa kwa uwezo wangu
 
Jaribu kuomba msaada kupitia jamii kama makanisa, misikiti, vyombo vya habari na zile huduma zinazotolewa bure kwenye viwanja, usikate tamaa mradi ujipange vizuri kwenye kujieleza shida yako.
 
Aisee, tafuta Kanisa la kiroho zuri, (sio mitume na Manabii), mfano TAG AU FPCT - Kubwa, kaa chini na Mchungaji, mweleze, Mwambie

" Ninaamini Kimbilio langu ni Mungu na Mungu ataniponya"

Akishakuombea, endelea kuhuzuria ibada kwa uhakika, na kusoma maneno ya uponyaji kwenye Biblia.

Ninaamini katika uponyaji wa Kimungu kupitia kifo cha Kikristo, na upongaji wako upo kwenye mikono yako.

Kwa maelezo yako, science will never help you, usijisumbue au kujiongezea matatizo.

Mungu akuvushe hapa kwa Jina lake Amen.
Ushauri muruwa kabisa.
 
Back
Top Bottom